Tuesday, October 27, 2020

BRAZIL YAIFUNGA COLOMBIA HARAMBEE YA CHAPECOENSE

Must Read

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo,...

Katwila: Sitaidharau Mbeya City

NA VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Ihefu, Zuberi Katwila, amesema hawaraidharau  Mbeya City...

Kocha apokea kipigo kwa shingo upande

 NA  VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Mwadui, Khalid Adam, amesema amesikitishwa na kipigo...

Rio De Janeiro, Brazil

Brazil imeichapa Colombia bao 1-0 katika mchezo wa kirafiki uliochangisha pauni 300,000 kwa ajili ya familia za wachezaji na wafanyakazi wa Chapecoense, ambao walikufa kwenye ajali ya ndege Novemba mwaka jana.

Mchezo huo wa kirafiki uliopigwa kwenye Uwanja wa Olympic jijini Rio De Janeiro, uliamuliwa na Dudu aliyefunga bao dakika za mwanzo za kipindi cha pili, wakati familia za wachezaji na wafanyakazi wa Chapecoense 43 waliokufa kwenye ajali hiyo iliyotokea Medellin walipokuwa wakielekea kucheza mchezo wa kwanza wa fainali ya Copa Sudamericana.

Salamu za rambirambi zilitolewa kwa wachezaji watatu walionusurika kwenye ajali hiyo, ambao ni mlinda mlango, Jackson Follmann, beki Neto na winga, Alan Ruschel, kabla ya mchezo huo kuanza.

Kiasi cha pauni zaidi ya milioni 1.2 kwa fedha za Kibrazil (pauni 300,000) zilichangishwa kwa ajili ya familia za wafiwa.

Chama cha soka cha Brazil kiliandika kwenye akaunti ya mtandao wao wa Twitter: “Jambo muhimu sana limefanyika, kiasi cha milioni 1.2 za Kibrazil zitakwenda kwa familia za wafiwa wa Chapecoense.”

Mechi ya kwanza ya Chapecoense walitoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya mabingwa wa Brazil, Palmeiras Jumamosi ya wiki iliyopita.

Klabu hiyo imejenga kikosi chake kutokana na wachezaji 22 wapya ambao wamewachukua kwa mkopo kutoka klabu nyingine na kuongeza na wachezaji wa kutoka timu za vijana.

 

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo,...

Katwila: Sitaidharau Mbeya City

NA VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Ihefu, Zuberi Katwila, amesema hawaraidharau  Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu...

Kocha apokea kipigo kwa shingo upande

 NA  VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Mwadui, Khalid Adam, amesema amesikitishwa na kipigo cha mabao 6-1 kutoka kwa...

KMC kumaliza hasira kwa Gwambina

NA WINFRIDA MTOI BAADA ya kuchezea kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Yanga, kocha msaidizi wa timu ya Manispaa...

Tshishimbi atambulishwa kuvaa uzi wa AS Vita

NA MWENDISHI WETU KIUNGO wa zamani wa timu ya  Yanga, Papy Tshishimbi, ametambulishwa katika kikosi cha AS Vita ya...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -