Monday, August 10, 2020

‘Bumper To Bumper’ ya King K hatari tupu

Must Read

Klabu zamiminika kuomba kutumia U/Nelson Mandela

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), umesema umeanza...

Kipa mpya Azam atamba kumsaulisha Abarola

NA ZAINAB IDDY KIPA mpya wa Azam, David Kissu, ameuahidi uongozi na mashabiki wa...

Yanga: Hatuna mpango na wasugua benchi Msimbazi

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga, umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji wanasugua benchi...

NA CHRISTOPHER MSEKENA

RAPA wa kizazi kipya mwenye asili ya Kenya anayeishi nchini Marekani, Kelvin Mwariri ‘King K’, ametamba kukata kiu ya mashabiki kwa ngoma yake, Bumper To Bumper inayotoka leo.

Akizungumza na Papaso la Burudani jana, King alisema ngoma hiyo amemshirikisha msanii wa Kenya, Odinare huku ukitengenezwa na prodyuza, Toch ukiwa na miondoko ya kuchezeka.

“Hii ni ‘club banger’ ambayo itawapagawisha mashabiki wa burudani, video inatoka kesho (leo) kwenye chaneli yangu ya YouTube hivyo nawaomba sapoti kwa mashabiki hapo Tanzania, Kenya na Afrika kwa ujumla,” alisema King K ambaye ni bosi wa We Kenyan Built Entertainment.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Klabu zamiminika kuomba kutumia U/Nelson Mandela

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), umesema umeanza...

Kipa mpya Azam atamba kumsaulisha Abarola

NA ZAINAB IDDY KIPA mpya wa Azam, David Kissu, ameuahidi uongozi na mashabiki wa timu hiyo kuwa atajituma na...

Yanga: Hatuna mpango na wasugua benchi Msimbazi

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga, umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji wanasugua benchi katika klabu ya Simba kwa...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -