Wednesday, November 25, 2020

BUSHIR AMTWISHA ZIGO AWADH JUMA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA MWANDISHI WETU

KOCHA wa Mwadui FC, Ally Bushir, amesema matumaini ya kikosi chake hicho ameyaelekeza kwa kiungo wake mpya Awadhi Juma.

Awadhi alijiunga na Mwadui FC kwa mkopo wakati wa usajili wa dirisha dogo akitokea Simba ya Dar es Salaam.

Akizungumza na BINGWA, Bushir ambaye alichukua jukumu ya kuinoa Mwadui baada ya mtangulizi wake Jamhuri Kihwelo kubwaga manyaga, amesema anaamini Awadhi ni mchezaji mwenye kipaji na msikivu ambaye kwa ushirikiano na wachezaji wengine wa timu hiyo wanaweza kuipa mafanikio.

“Awadh ni mchezaji mwenye kipaji cha hali ya juu ambaye mimi kama kocha nina imani naye, kwamba ataisaidia  timu kufanya vizuri  duru la pili, katika  michezo michache tu niliyompa nafasi kafanya mambo makubwa sana, akiwa uti wa mgongo kupata matokeo  chanya.”

Awadhi Juma  alikuwa sehemu ya kikosi cha kocha Bushir kilichocheza mitanange mitatu na kuibuka na ushindi, huku kiungo akifunga bao moja katika mchezo dhidi ya Kagera Sugar.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -