Thursday, October 22, 2020

BUSHIR: YANGA MSIPOBADILIKA JIANDAENI KUFUNGASHA

Must Read

UKITELEZA KWISHNEI

NA ASHA KIGUNDULAMIAMBA ya soka nchini, Simba na Yanga, leo wana vibarua vigumu vya kusaka pointi zote...

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

NA HUSSEIN OMAR

KOCHA wa Mwadui FC, Ali Bushir, amekitazama kwa makini kikosi cha Yanga na kulishauri benchi la ufundi la timu hiyo kuwaongezea mbinu wachezaji wao kama wanataka kufanya vizuri katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Yanga itazindua kampeni zake za Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuumana na  mabingwa wa Comoro timu ya Ngaya Club, mchezo utakaopigwa kati ya Februari 10 au 12 jijini Moron.

Akizungumza na BINGWA, Bushir  alitaka miongoni mwa eneo muhimu ambalo benchi la ufundi la Yanga linatakiwa kuwaongezea mbinu wachezaji wao, kuwa ni safu ya ushambuliaji hususan katika kupachika mabao.

Bushir alisema Yanga inatakiwa kubadilisha mifumo na mbinu inazotumia wakati wa kutafuta mabao kwani za sasa ni rahisi wapinzani wao kuzibaini.

“Siku ile tulipocheza nao utaona walitumia sana winga zao kutengeneza mabao kutokea pembeni na sisi  tulipofanikiwa kuwabana, walipata sana shida hivyo wanatakiwa kuongeza mbinu kama wanataka kufika mbali kimataifa,” alisema Bushir.

Bushir hata hivyo, hakusita kuisifu Yanga kwa kusema ni timu bora kutokana na kuwa na wachezaji wengi wenye uzoefu na michuano ya kimataifa.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

UKITELEZA KWISHNEI

NA ASHA KIGUNDULAMIAMBA ya soka nchini, Simba na Yanga, leo wana vibarua vigumu vya kusaka pointi zote...

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na Staa Wako, safu inayokupa nafasi...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -