Friday, October 23, 2020

BUSUNGU: KWA TIZI LA LWANDAMINA, MABEKI WATANIKOMA

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

NA ZAINAB IDDY


MSHAMBULIAJI wa Yanga, Malimi Busungu aliyekuwa akiwekwa benchi na kocha, Hans van der Pluijm, amesema kwa mazoezi anayopewa na George Lwandamina, sasa mabeki wa Ligi Kuu Tanzania Bara watamkoma.

Akizungumza na BINGWA jana, Busungu alisema  anaamini mazoezi anayoyafanya chini ya Lwandamina kujiandaa na mzunguko wa pili wa ligi hiyo, yatamwezesha kumrejesha katika kikosi cha kwanza.

Busungu alisema anaendelea kumshawishi Lwandamina katika mazoezi yake ili iweze kumpa nafasi ya kuanza katika kikosi chake, kwani atahakikisha anawasumbua mabeki wa timu zinazoshiriki ligi hiyo.

Alisema atahakikisha  anarejea na makali baada ya kusota benchi kwa muda mrefu bila kupata nafasi katika kikosi cha Pluijm.

“Nashukuru baada ya muda mrefu kuwa nje ya kikosi, kwa sasa nimerejea na kuanza mazoezi, nina uhakika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara  utakuwa na manufaa kwa upande wangu.

Najua kuna ushindani wa namba, lakini hainipi shida kwa jinsi nilivyojipanga, nina uhakika kocha aliyekuwepo atakubali uwezo wangu na kuniamini katika kikosi chake,” alisema Busungu.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -