Friday, October 30, 2020

CAN KUIKOSA MAN U

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

TURIN, Italia

KOCHA wa Juventus, Massimiliano Allegri, amethibitisha kuwa kiungo wa timu hiyo, Emre Can, atakosekana katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya leo dhidi ya Manchester United utakaopigwa kwenye Uwanja wa Old Trafford.

Allegri alisema Can anatarajia kufanyiwa upasuaji kwenye shingo yake na wanategemea atakuwa nje kwa muda mrefu kupona kidonda hicho.

“Emre Can hawezi kucheza dhidi ya Manchester United, ikiwa hivi karibuni atafanyiwa upasuaji kwenye shingo yake,” alisema kocha huyo.

Pia, straika wa timu hiyo, Paulo Dyabala, atakuwepo katika mchezo huo baada ya taarifa mbalimbali kusema anaweza kukosa mchezo huo kwa majeraha ya goti aliyoyapata wakati akiitumikia Argentina.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -