Wednesday, October 28, 2020

CARROL APIGA ‘HAT TRICK’ DHIDI YA ARSENAL

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

LONDON, England


USIKU wa kuamkia jana washika mitutu wa Jiji la London, klabu ya Arsenal, walifanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 5-1 ugenini dhidi ya West Ham na kuuanza Desemba vizuri.

Arsenal waliingia kwenye mchezo huo wakiwa na kumbukumbu mbaya ya kupoteza mchezo wa kuwania Kombe la EFL dhidi ya Southampton kwa kufungwa mabao 2-0.

Hata hivyo, ‘Gunners’ hao walisahau ya nyuma na kuhakikisha wanaondoka kwenye dimba la Olimpiki na pointi tatu muhimu dhidi ya mahasimu wao hao wa Jiji la London.

Lakini, kituko kilichotokea kwenye mchezo huo ni hiki: Licha ya Andy Carrol kuingia kipindi cha pili na kufunga bao moja la kufutia machozi, mshambuliaji huyo alipiga pasi tatu tu zote zikiwa ni za kuanza mchezo katikati ya uwanja.

Alipoingia dakika ya 75 alikuta ubao ukisomeka 2-0 kabla ya Arsenal kuongezea bao la tatu dakika tano baadaye. Carrol akaenda kuanzisha mpira kati, hiyo ikawa pasi yake ya kwanza.

Arsenal wakapata bao la nne kupitia kwa Alex Oxlade-Chamberlainn Carrol kwa mara nyingine akaenda kuanzisha mpira kati. Pasi ya pili hiyo.

Pasi ya tatu ya kuanzisha mchezo aliipiga mara baada ya Sanchez kutupia la tatu hivyo akakamilisha ‘hat trick’ ya pasi huku Sanchez akipiga ya mabao.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -