MADRID, Hispania
STAA wa Real Madrid, Casemiro, amesema hakufikiria kujiunga na Barcelona kwa sababu aliipenda Real Madrid.
“Sitakaa niichezee Barcelona, kwa sababu hapa Hispania naishabikia Real Madrid,” alisema.
© New Habari (2006) Ltd | All rights reserved.