Monday, August 10, 2020

Burudani

Menina aula ubalozi bidhaa za vipodozi

BEATRICE KAIZA Staa wa filamu na Bongo Fleva nchini, Menina Abdulkarim amekula dili nono la kuwa balozi wa bidhaa za vipodozi za kampuni ya wix sole Distribution worldwide. Akizungumza na waandishi...

Denis God’s Gift atambulisha ‘The Best’

IOWA, MAREKANI  MWIMBAJI wa Injili nchini Marekani, Denis God’s Gift, amewaomba wapenzi wa muziki huo kuupokea wimbo wake, The Best aliouachia hivi karibuni kwenye mtandao wa YouTube. Akizungumza na Papaso la...

‘Bumper To Bumper’ ya King K hatari tupu

NA CHRISTOPHER MSEKENA RAPA wa kizazi kipya mwenye asili ya Kenya anayeishi nchini Marekani, Kelvin Mwariri ‘King K’, ametamba kukata kiu ya mashabiki kwa ngoma yake, Bumper To Bumper inayotoka leo.

Gunda aachia ‘Ni Nani Mtu Huyu’

HARARE, ZIMBABWE KUTOKA nchini Zimbabwe, mwimbaji mahiri wa Injili, Lawrence Gunda, amewaomba mashabiki wa muziki huo Tanzania waipokee video ya wimbo wake mpya, Ni Nani Mtu Huyu. Akizungumza na...

Salem Morisho aachia video ya ‘Ni Kwa Nehema’

TEXAS, MAREKANI MWIMBAJI wa Injili anayefanya shughuli zake Houston, Texas nchini Marekani, Salem Morisho, amewaomba wapenzi wa muziki huo waipokee video ya wimbo wake mpya, Ni Kwa Neema (Ni Kwa Neema).

Modeste Bruno kuachia albamu mpya Julai 4

NA CHRISTOPHER MSEKENA MWANAMUZIKI anayeishi Denver, Colorado nchini Marekani, Modeste Bruno, amesema  mashabiki wajiandae kupokea albamu yake mpya, Dieu D’ Amour (Mungu wa Upendo), Julai 4, mwaka huu. Akizungumza na Papaso...

Yanga mzuka kama wote

*Waikalia kikao kizito JKT Tanzania, GSM yawakumbusha jambo NA ZAINAB IDDY KAZI ndio kwanza inaanza Jangwani. Ndivyo ambavyo unaweza kusema kwani baada ya juzi Yanga kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi...

SL Savage kutoka Oman kuileta ‘Good Day’

MUSCAT, OMAN KUNDI la muziki wa kizazi kipya linalofanya vyema nchini Oman, SL Savage, limewaomba mashabiki zake kukaa mkao wa kuburudika na ngoma yao mpya, Good Day. Akizungumza na MTANZANIA jana,...

Johari awapa darasa wanaovamia filamu

NA BRIGHITER MASAKI MKONGWE kwenye tasnia ya filamu nchini, Johari Chagula ‘Johari’, amesema kuwa wasanii wa sasa hawafanyi kazi kwa weledi kama walivyokuwa wao. Akizungumza na Papaso la Burudani, Dar es...

Maua Sama atangaza fursa, kisa Mwana FA

NA JEREMIA ERNEST MREMBO anayetikisa katika tasni ya muziki nchini, Maua Sama, amepanga kulipa fadhila kwa nyota wa fani hiyo, Hamis Mwijuma 'Mwana FA', aliyemsaidia kufika alipo. Akizungumza na Papaso la...
- Advertisement -

Latest News

Klabu zamiminika kuomba kutumia U/Nelson Mandela

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), umesema umeanza...
- Advertisement -

Kipa mpya Azam atamba kumsaulisha Abarola

NA ZAINAB IDDY KIPA mpya wa Azam, David Kissu, ameuahidi uongozi na mashabiki wa timu hiyo kuwa atajituma na...

Yanga: Hatuna mpango na wasugua benchi Msimbazi

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga, umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji wanasugua benchi katika klabu ya Simba kwa...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...