Friday, September 25, 2020

Chombezo

Shida ya vijana wengi katika ndoa

Na Ramadhani Masenga NDOA za vijana wengi wenye umri kati ya miaka 30 na kushuka chini nyingi zimevunjika na zile zilizo hai ziko katika hali mbaya sana. Ni idadi ndogo sana...

Straika Polisi Tanzania: Mtamsahau Nchimbi

MSHAMBULIAJI mpya wa Polisi Tanzania, Athanas Mdam, amesema mashabiki wa timu hiyo, watamsahau Ditram Nchimbi. Mdam amesajiliwa na Polisi Tanzania akitoa Alliance baada ya Nchimbi kujiunga na Yanga katika kipindi hiki cha dirisha dogo lililofunguliwa Desemba 16,...

Nchimbi amvua jezi mtu Yanga

HABARI ZOTE NA ZAINAB IDDY BAADA ya kutua katika Klabu ya Yanga, Ditram Nchimbi, ameomba kupewa jezi namba 29 iliyokuwa ikivaliwa na kiungo wa timu hiyo, Rafael Daudi. Rafael ambaye amevaa jezi hiyo kwa...

Zawadi maalum unayopaswa kumpatia unayempenda

KUMPATA anayekupenda si tiketi ya uhakika ya kupata furaha na amani katika mahusiano yako kama hujatimiza wajibu wako ipasavyo. Furaha ya mahusiano inatengenezwa na namna wahusika wanavyotendeana. Unaweza kumpata mtu unayependana naye...

Nyota Yanga aionya Simba

@@ NA ZAINAB IDDY MCHEZAJI wa zamani wa timu ya Yanga, Ally Mayay, ameutaka uongozi wa klabu ya Simba kuwa makini katika kufanya maamuzi ya kumpata kocha atakayemrithi  Patrick Aussems. Simba...

Asagwile awapa somo washiriki BSS

NA CHRISTOPHER MSEKENA MWIMBAJI wa Injili nchini ambaye ni mshindi namba mbili wa shindano la Bongo Star Search (BSS 2018) Asagwile Mwasongwe, amewataka vijana wa Arusha kujitokeza kwa wingi katika usahili utakaofanyika mwishoni mwa wiki jijini humo.

Mwanamitindo Cosmas akataa maisha ya kiki

NA JEREMIA ERENEST WAKATI wanamitindo wengi wa kiume wakitengeneza matukio yatakayowapa umaarufu, mwanamitindo mchanga Cosmas Nyamhanga, amesema kazi zake zitamtambulisha hivyo haitaji kufanya kiki. Akizungumza na Papaso la Burudani jana, Cosmas ambaye ni miongoni mwa...

Wini apania jukwaa la Fiesta

NA ANNASTANZIA MAGUHA MREMBO  anayekuja kwa kasi kwenye Bongo Fleva, Winfrida Masi ‘Wini’, amejipanga kufanya makubwa katika jukwaa la Fiesta Jumamosi hii jijini Mwanza ikiwa ni mara yake ya kwanza kutumbuiza. Akizungumza na...

Kigogo aiponda AC Milan

MILAN, Italia KIGOGO wa siasa nchini Italia, Matteo Salvini, ameiponda AC Milan baada ya kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa mahasimu wao, Inter Milan, wikiendi iliyopita. Kigogo...

Wolper awang’ata sikio warembo

NA BRIGHITER MASAKI MWIGIZAJI na mbunifu wa mavazi Bongo, Jacqueline Wolper, amesema kama kigezo cha kuolewa kingekuwa sura, basi yeye angekuwa tayari ameolewa. Akizungumza na Papaso la Burudani jana, Wolper alisema warembo wengi...
- Advertisement -

Latest News

Azam FC yakiri Mbeya City kiboko

NA WINFRIDA MTOI LICHA ya kuchukua alama tatu kwa Mbeya City, uongozi wa Azam...
- Advertisement -

Niyonzima ala kiapo mechi za ugenini

NA ZAINAB IDDY NAHODHA msaidizi wa Yanga, Haruna Niyonzima, amesema kuwa mipango ya timu yao ni kuwa na mwendelezo...

Yanga achana nao

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga umekuja na mkakati maalum wa kuhakikisha wanakusanya pointi tatu kila mchezo, wakianzia mechi...

CHAMA GUMZO KILA KONA

NA WINFRIDA MTOI KIWANGO kilichoonyeshwa na kiungo wa Simba, Clatous Chama katika mchezo wa juzi wa Ligi Kuu Tanzania...

United ‘kimeo’ yamtoa povu Evra

MANCHESTER, EnglandBEKI wa zamani wa Manchester United, Patrice Evra, amekerwa na namna mambo yanayoendelea katika klabu hiyo, hasa ishu za usajili.