Wednesday, August 12, 2020

Dondoo

Luis azua hofu Simba

ZAINAB IDDY NA FAUDHIA RAMADHAN NYOTA wa Simba, Luis Jose Miquissone amezua hofu ndani ya klabu hiyo, kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga utakaochezwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa...

WAENDESHA baiskeli walioitwa timu ya taifa

NA VICTORIA GODFREY WAENDESHA baiskeli walioitwa  timu ya taifa  inayojindaa na mashindano ya Afrika  wametakiwa kujitokeza kushiriki mashindano yam bio za baiskeli yajulikanayo  kwa jina la North Zanzibar Sportive’(NZS), ya kilometa 50 na kilometa 93  ambalo limepangwa kufanyika Februari...

Kanda aanza mazoezi mepesi

NA MWAMVITA MTANDA WINGA wa timu ya Simba, Deo Kanda, amesema  ameanza mazoezi mepesi na muda si mrefu ataonekana uwanjani, baada ya kuumia katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Yanga. Kanda...

Kocha Singida United atamba hawatawaacha salama Namfua

NA WINFRIDA MTOI                                             KOCHA wa Singida United, Ramadhan Nsanzurwimo, amesema baada ya kurejea kwenye uwanja wao wa nyumbani wa Namfua, hawatakubali kufungwa.  Kwa muda mrefu Singida United ilikuwa inatumia  Uwanja wa Sheikh Amri Abeid,...

Uwanja wa Amaan kuweka kapeti jipya

HABARI ZOTE NA IBRAHIM MAKAME, ZANZIBAR SERIKALI  ya Mapinduzi Zanzibar kupitia Wizara ya Sanaa, Vijana na Michezo, inatarajiwa kuufanyia maboresho Uwanja wa Amaani visiwani hapa kwa kuweka nyasi mpya bandia. Akizugumza na BINGWA juzi, Katibu...

Uwanja wa Sokoine Mbeya wafungwa

BODI ya Ligi Tanzania (TPLB), imeufungia Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya kwa muda usiojulikana kutokana na kutokuwa katika hadhi ya kutimiwa michuano mbalimbali inayosimamiwa na bodi hiyo. Hatua ya kufungiwa kwa uwanja huo, imekuja baada ya kumalizika...

Wanachama Simba kuzuru Bunju leo

NA ZAINAB IDDY WANACHAMA wa Klabu ya Simba, leo wanatarajiwa kwenda kuona uwanja wao wa soka uliojengwa Bunju nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Uwanja huo umekamilika kwa asilimilia kubwa...

Tottenham kuvuta beki EPL mwakani

LONDON, England NI mipango yao kuelekea dirisha dogo la usajili la Januari, mwakani, kwamba wahakikishe wanamchukua beki wa kati wa Norwich City, Ben Godfrey. Tottenham wamekuwa wakivutiwa na kazi za mlinzi huyo mwenye umri...

Kessie wa Milan anatua England

LONDON, England KLABU ya West Ham inaongoza katika mbio za kumsaka kiungo wa AC Milan na timu ya taifa ya Ivory Coast, Franck Kessie. Hata kama West Ham watamkosa, bado kuna uwezekano mkubwa...

Mjerumani aziingiza vitani Liver, Arsenal

LONDON, England TAARIFA zilizopo zimedai kuwa klabu za Liverpool na Arsenal zinamwania straika mwenye umri wa miaka 17 anayecheza Liefering  ya Daraja la Pili nchini Austria. Nyota huyo raia wa Ujerumani ni...
- Advertisement -

Latest News

Klabu zamiminika kuomba kutumia U/Nelson Mandela

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), umesema umeanza...
- Advertisement -

Kipa mpya Azam atamba kumsaulisha Abarola

NA ZAINAB IDDY KIPA mpya wa Azam, David Kissu, ameuahidi uongozi na mashabiki wa timu hiyo kuwa atajituma na...

Yanga: Hatuna mpango na wasugua benchi Msimbazi

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga, umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji wanasugua benchi katika klabu ya Simba kwa...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...