Monday, August 10, 2020

Featured

Yanga anasa mrithi wa Abdul

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga jana umweingia mkataba wa miaka miwili na beki wa kulia wa timu ya Mtibwa Sugar, Kibwana Shomari. Yanga imemsajili Shomari akitajwa kuwa mrithi wa beki...

Jeuri ya Simba kwa Morrison hii hapa

NA ASHA KIGUNDULA WAKATI hatma ya Bernad Morrison kuichezea Simba au kubaki Yanga ikitarajiwa kujulikana leo, imeelezwa kuwa inaonekana wazi Wekundu wa Msimbazi hawajakurupuka kumtangaza nyota huyo. Simba juzi ilimtangaza Morrison...

BAADA YA KUJIUZULU SIMBA… ...

MICHAEL MAURUS NA ASHA KIGUNDULA KUNA sehemu ya mashairi ya wimbo wa mkali wa Hip Hop nchini, Fareed Kubanda ‘Fid Q’, yanayosema ‘akikupiga ngumi ya jicho na wewe mpige ya sikio, akikuuliza unaonaje na...

SHIBOUB ASUBIRI SAA KUSAINI AZAM

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa klabu ya Azam upo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa kiungo wa Simba, Msudan Sharaf Shiboub, kwa  msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara na michuano mingine.

Timu Samatta, Kiba hapatoshi U/Mkapa

NA ASHA KIGUNDULA WACHEZAJI maarufu wa soka, leo watakutana kwenye Uwanja wa Benjamin William Mkapa, Dar es Salaam kwa ajili mchezo maalum wa hisani ulioandaliwa na Mtanzania anayekipiga Aston Villa ya England na mkali...

Kagera Sugar wapindua meza Yanga

NA ZAINAB IDDY MATUMAINI ya Yanga kumpata kocha Mecky Mexime, yameyeyuka ghafla baada ya uongozi wa klabu yake ya Kagera Sugar, kupindua meza kibabe kwa kumbakiza katika kikosini chao. Yanga ilipanga...

Ahadi ya Manara 80%

NA WINFRIDA MTOI AHADI ya Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Haji Manara kuwa watafyatua mioyo ya watu na kulazwa hospitali kwa ugonjwa wa moyo, imekamilika kwa asilimia kubwa na kilichobaki ni...

Kwa mido huyu, msimu ujao na uje tu

NA WINFRIDA MTOI KIUNGO wa kimataifa wa Zambia, Larry Bwalya, anatarajiwa kuwapa uhondo wa aina yake wapenzi wa Yanga msimu ujao kwani hiyo shughuli yake si mchezo, akiwa amemng’oa Clatous Chama wa Simba katika...

Kibri cha Yanga kwa Yondani kipo hapa

NA MOHAMED KASSARA JEURI ya klabu ya Yanga kusita kuwaongezea mikataba mipya mabeki wao wawili, Kelvin Yondani na Juma Abdul imetokana na kuwa na uhakika wa kupata wachezaji sahihi wa kuziba mapengo yao katika...

SIMBA WAANZA RASMI JEURI YAO

NA WINFRIDA MTOI BAADA ya ‘kuwachora’ wapinzani wao Yanga na Azam, wanavyofanya fujo za kutambulisha wachezaji wao wapya tayari kwa msimu ujao, Simba wameibuka na kuahidi kuanza kuonyesha jeuri yao ya usajili leo.
- Advertisement -

Latest News

Klabu zamiminika kuomba kutumia U/Nelson Mandela

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), umesema umeanza...
- Advertisement -

Kipa mpya Azam atamba kumsaulisha Abarola

NA ZAINAB IDDY KIPA mpya wa Azam, David Kissu, ameuahidi uongozi na mashabiki wa timu hiyo kuwa atajituma na...

Yanga: Hatuna mpango na wasugua benchi Msimbazi

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga, umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji wanasugua benchi katika klabu ya Simba kwa...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...