Thursday, October 29, 2020

Habari

Manara aibuka na mpya ya kuwakera watu

NA WINFRIDA MTOI SIMBA imekuja na kauli mbiu mpya kuelekea mechi ya watani wa jadi, itayopigwa Oktoba 18, mwaka huu kutokana na matokeo yatakayopatikana ambayo ni ‘Zin Zala Day’. Simba ambayo...

Wachezaji Gwambina wapewa muda

NA ZAINAB IDDY KOCHA wa timu wa  Gwambina, Fulgence Novatus, amesema amewapa muda wachezaji wake  ili aweze kutathimini kiwango cha kila mmoja. Gwambina inayoshiriki kwa mara ya kwanza ligi hiyo,  haijashinda katika...

Kisu amfunika vibaya Manula

NA ZAINAB IDDY KIPA  wa timu ya Azam, David Kisu, amemfunika Aishi Manula  wa Simba kutokana na kutoruhusu bao katika michezo minne ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Kisu aliyesajiliwana...

Zahera awapa Simba taji mapema

NA ZAINAB IDDY BAADA ya Gwambina kufungwa mabao 3-0 na Simba  katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa Mkapa, jijini Dar es Salaam,  Mkurugenzi  wa timu hiyo,  Mwinyi...

Wachezaji Simba wapewa nondo za Al Ahly

ASHA MUSSA NA GODFREY PAUL (TUDARCo) WACHEZAJI wa Simba wamepewa semina bab kubwa inayolenga kuwajenga zaidi ili kutimiza majukumu yao ipasavyo. Semina hiyo iliwahusu pia wafanyakazi wengine wa klabu hiyo, likiwamo...

MASHABIKI SIMBA WAPEWA MTIHANI

NA ZAINAB IDDY MASHABIKI wa Simba wapo katika mtihani wa aina yake kutokana na yanayoendelea ndani ya klabu yao, yakiwa yamechochewa kwa kiasi kikubwa na Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Wekundu wa Msimbazi hao,...

Azam FC yakiri Mbeya City kiboko

NA WINFRIDA MTOI LICHA ya kuchukua alama tatu kwa Mbeya City, uongozi wa Azam FC umekiri haikuwa kazi rahisi kutokana na soka walilocheza wapinzani wao. Azam juzi ilifanikiwa kushinda bao 1-0...

Niyonzima ala kiapo mechi za ugenini

NA ZAINAB IDDY NAHODHA msaidizi wa Yanga, Haruna Niyonzima, amesema kuwa mipango ya timu yao ni kuwa na mwendelezo wa kuvuna alama tatu katika mechi zote za ugenini za Ligi Kuu Tanzania Bara.

Yanga achana nao

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga umekuja na mkakati maalum wa kuhakikisha wanakusanya pointi tatu kila mchezo, wakianzia mechi dhidi ya Mtibwa Sugar, Jumapili hii. Yanga inatarajia kushuka dimbani katika mchezo...

CHAMA GUMZO KILA KONA

NA WINFRIDA MTOI KIWANGO kilichoonyeshwa na kiungo wa Simba, Clatous Chama katika mchezo wa juzi wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Biashara United, kimeendelea kuwa gumzo kila kona, huku akipewa nafasi ya kutetea...
- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...
- Advertisement -

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...