Friday, December 4, 2020

Habari

Mtibwa Sugar yaona mwezi, Polisi, JKT Tanzania sare

WAANDISHI WETU  TIMU ya Mtibwa Sugar imepata ushindi wa kwanza baada ya kuifunga Ihefu bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Bao...

Baraza: Kiungo ndiyo inaibeba Simba

NA WINFRIDA MTOI WAKATI timu ya Biashara United, ikijipanga kucheza na Simba kesho kwenye Uwanja wa Mkapa, jijini Dar es Salaam, ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kocha wa kikosi hicho, raia...

KISHINDO SIMBA SC

MWANDISHI WETU WIKIENDI hii inaweza kuwa ya aina yake kwa wapenzi wa Simba kutokana na mikakati inayosukwa na viongozi wao, kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Biashara United kwenye...

NI PASI, MABAO

NA WINFRIDA MTOI KIKOSI cha Tanga leo kinashuka kwenye Uwanja wa Kaitaba, mjini Bukoba, kuvaana na wenyeji wao, Kagera Sugar, huku Wanajangwani hao wakiahidi kutoa burudani ya aina yake kwa wapenzi wao.

Mzamiru afunguka kutoshangilia bao Morogoro

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Simba, Mzamiru Yassin, amesema kuwa sababu kubwa iliyomfanya asishangilie bao alilowafunga Mtibwa Sugar ni kutokana na heshima yake kwa mabosi wake hao wa zamani pamoja na mchango mkubwa alioupata...

Ihefu yazinduka, Biashara yaendeleza ubabe VPL

NA ZAINAB IDDY TIMU ya Ihefu FC imezinduka baada ya kushinda mechi yake ya kwanza ya Ligi Kuu Tanzania Bara, ikitoka kupokea kipigo cha mabao 201 kutoka kwa Simba katika mchezo wa kwanza.

Kisu atamani namba Stars

NA ZAINAB IDDY KIPA wa Azam, David Kisu, amesema kuwa ndoto yake ni kupata nafasi ya kudaka katika kikosi cha kwanza cha timu ya Taifa, Taifa Stars. Kisu amejiunga na Azam...

Katwila afichua siri nzito sare mfululizo

NA ZAINAB IDDY KOCHA wa Mtibwa Sugar, Zuber Katwila, ametaja sababu ya kupata sare katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Simba ni wachezaji wengi ni wageni katika kikosi chake.

Uwanja wa kisasa Yanga wanukia

NA ZAINAB IDDY YANGA wapo mbioni kumtangaza mzabuni atakayejenga uwanja wa kisasa wa klabu hiyo, baada ya hatua ya pili ya  michoro kukamilika. Kamati ya Ujenzi ya Uwanja wa  Klabu ya...

Simba wapata bosi mpya

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Klabu ya Simba, umemtangaza Hamis Kisiwa, kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Uanachama na mashabiki wa klabu hiyo. Kisiwa ambaye alikuwa meneja wa mashindano wa Simba, kwa sasa...
- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...
- Advertisement -

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...