Friday, December 4, 2020

Habari

Kerr alia na Tambwe

KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, amelia na bao la mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe kuwa ndilo lililowanyong’onyesha na kujikuta wakipoteza mchezo dhidi ya watani wao hao wa jadi Jumamosi iliyopita. Katika mchezo huo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa...

Pluijm: Tutavunja mwiko Moro J5

BAADA ya juzi kufanikiwa kuwalaza Simba mabao 2-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm, amesema kikosi chake kipo kamili kuvunja mwiko wa kufungwa...

SIRI YA MAUAJI SIMBA

WACHEZAJI wanne wa Yanga wamehusika moja kwa moja katika ushindi wa mabao 2-0 walioupata juzi dhidi ya Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Pamoja na ukweli kwamba kikosi cha...
- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...
- Advertisement -

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...