Saturday, August 15, 2020

Hadithi

Mke amfungisha safari kocha wa viungo Yanga

Mwamvita Mtanda KOCHA wa viungo wa timu ya Yanga, Riedoh Berdien, amesema ameondoka nchini kwenda Afrika Kusini kuungana na famalia yake, baada Ligi Kuu Tanzania Bara kusimama kwa siku 30 kutokana na tishio...

Ninja awaachia ujumbe mzito nyota Yanga

NA WINFRIDA MTOI ALIYEKUWA beki wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’, amewatumia ujumbe mzito wachezaji wa klabu hiyo, akiwataka kuchangamkia fursa za kwenda kucheza soka ya kulipwa nje ya Tanzania. Ninja aliyeitumikia...

Dante awapa habari njema Yanga

NA MWANDISHI WETU BAADA ya kurejea katika michuano ya kimataifa, beki wa Yanga, Andrew Vincent, ‘Dante’, amewapa habari njema mashabiki wa timu hiyo, akisema hawataichezea bahati ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga...

Uchaguzi Mkuu Yanga… Waliokatwa waitwa

NA ZAITUNI KIBWANA SIKU chache baada ya wagombea wa nafasi za ujumbe katika Uchaguzi Mkuu wa Yanga, Hussein Nyika na Sumuel Luckumay kuenguliwa kwenye mchakato huo, Kamati ya Uchaguzi ya timu hiyo imetangaza wote waliopigwa panga kwenda...

Usimsubirie mwenzako, anza kufanya hivi ili ufurahie mahusiano yako

ASILIMIA 70 ya furaha katika uhusiano wako inakutegemea wewe na asilimia 30 inamtegemea mwenzako. Ila bahati mbaya sana watu wengi katika uhusiano hutafuta furaha zao kupitia wenzao, wakisahau wao ndio hasa chimbuko la kusababisha furaha katika...

Tajiri wa masikini- 96

Ilipoishia Tajiri Alexender alizikwa hapo, Theresa alilia sana, alikuwa kama kichaa hakuamini kama baba yake alikuwa amemwacha ghafla kiasi hicho. SASA ENDELEA… Salamu za rambirambi ziliendelea kutolewa kutokea kila...

Wanaume wanatakiwa kuwa macho kuhusu wanawake wa aina hii

IFAHAMIKAVYO mwanamume ni kiongozi kwa mwanamke. Hii si tu ni suala la kijamii, pia hata vitabu vya dini vimezungumzia na kusisitiza hili. Kutokana na ukweli huu, wanaume wengi, hasa wa Kiafrika, wamejikuta wakipenda mno kunyenyekewa...

Sultan, Hurrem wanapanga kumuoza Mihrimah kwa Rusteem, mwenyewe hataki

KARIBU tena katika simulizi hii ya tamthilia ya Sultan leo Ijumaa tulivu tuanze ilipoishia. Sultana anafanikiwa kumteka kimahaba Sultan anamsamehe, anamrudisha kwenye jumba la kifalme jambo linalomkwaza mno, Shah Sultana, lakini hana la kufanya kama Gulfem...

Mwanamke hapaswi kufanyiwa hivi kama unahitaji amani

NA RAMADHANI MASENGA MWANAMKE ni binadamu kama mwanaume, anahitaji amani, furaha, kupewa thamani na kuheshimiwa kama anavyohitaji mwanaume. Kosa kubwa wanalofanya wanaume wengi katika mahusiano ni kuwafanya wanawake wao kukosa uhuru...

Tajiri wa masikini- 76

Ilipoishia  “Samahani kwa kosa langu najua unafahamu nilifanya vile kwa sababu gani Vanuell. Najua unatambua fika jinsi gani moyo wangu unavyopata tabu juu yako.”  “Hayo yalishapita Lucy yafaa tutazame yajayo,” nilimwambia.
- Advertisement -

Latest News

Simba ukuta wa chuma

NA WINFRIDA MTOI KLABU ya Simba imekamilisha safu yao ya ulinzi baada ya kumsajili...
- Advertisement -

Wakili kiboko anunua kesi ya Morrison

NA WINFRIDA MTOI WAKALI aliyejizolea umaarufu nchini kutokana na uwezo na rekodi yake ya kushinda kesi kubwa nchini, Alex...

Klabu zamiminika kuomba kutumia U/Nelson Mandela

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), umesema umeanza kupokea maombi kutoka kwa baadhi...

Kipa mpya Azam atamba kumsaulisha Abarola

NA ZAINAB IDDY KIPA mpya wa Azam, David Kissu, ameuahidi uongozi na mashabiki wa timu hiyo kuwa atajituma na...

Yanga: Hatuna mpango na wasugua benchi Msimbazi

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga, umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji wanasugua benchi katika klabu ya Simba kwa...