Tuesday, October 20, 2020

Latest News

Nyota Simba kulindwa kwa kifaa maalum

NA MOHAMED KASSARA KATIKA kuhakikisha Simba inafanya vizuri katika michuano ya Afrika, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu hiyo, Mohammed Dewji ‘MO’, ameagiza kifaa cha kufuatilia mienendo ya wachezaji kinachofahamika kama GPS.

MO DEWJI: TUTAVUNJA REKODI ZOTE

NA WINFRIDA MTOI MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’, amesema kuwa watarajia kuvunja rekodi zote katika kilele cha tamasha la klabu hiyo, maarufu Simba Day litakalofanyika kesho kwenye Uwanja wa Benjamini...

Mahadhi apania kurejesha namba yake

NA JESSCA NANGAWE WINGA wa Yanga, Juma Mahadhi, amesema  yupo fiti kurejea dimbani  pindi Ligi Kuu Tanzania Bara itakaporejea baada ya kukaa nje misimu miwili mfululizo. Mahadhi ambaye alipata majeraha ya...

DORTMUND v BAYERN Mechi iliyojaa visasi, ubingwa na historia kubwa Ujerumani

DORTMUND, Ujerumani NI LEO pale Signal Iduna Park, ambako wenyeji wa uwanja huo, Borussia Dortmund, watawakaribisha vigogo wa Bundesliga, Bayern Munich, ukiwa ni mchezo wa 28 kwa kila timu msimu huu.

Man United kukomaa na Bailly

MANCHESTER, England MANCHESTER United wapo tayari kukaa chini, kuanza maongezi ya mkataba mpya na beki wao Eric Bailly ambaye kandarasi yake inamalizika msimu ujao. Beki huyo raia wa Ivory Coast alikuwa...

Umtiti: Arsenal? Acheni uzushi bhana

CATALUNYA, Hispania BEKI wa Barcelona, Samuel Umtiti amewashangaa wanaosema alikuwa anataka kujiunga na kikosi cha Arsenal msimu huu. Inadaiwa beki huyo wa kimataifa wa Ufaransa alihusishwa na Arsenal kabla hawajamsajili David...

Ceballos: Hakuna timu hatari kama Liverpool

LONDON, England KWA mechi alizocheza hadi sasa ndani ya Ligi Kuu England, kiungo wa Real Madrid anayecheza kwa mkopo katika kikosi cha Arsenal, Dani Ceballos, amefunguka, akisema hajaona timu hatari zaidi ya wakali wa...

Kompany atokwa povu kisa Stones

MANCHESTER, England ALIYEKUWA nahodha wa Manchester City, Vincent Kompany, anaamini beki wa kati wa timu hiyo, John Stones, ni mmoja kati ya wachezaji wenye viwango vya juu, hivyo amemtaka kuwaziba midomo wanaomponda.

‘Huyo Timo Werner hakamatiki Bundesliga’

MUNICH, Ujerumani MAMBO yamezidi kumnyookea straika wa RB Leipzig, Timo Werner ambaye anahusishwa kutakiwa na vigogo wa soka Ulaya kama Real Madrid, Manchester United, Barcelona na Liverpool. Straika huyo mwenye umri...

Manara amjaza upepo Senzo

Na WINFRIDA MTOI MKUU wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Haji Manara, amesema bosi wake, Ofisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Senzo Mbatha  ni kati ya viongozi wachapa kazi wazuri.
- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...
- Advertisement -

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...