Monday, August 10, 2020

Makala

SIMBA 4-1 YANGA… ...

NA AYUBU HINJO DAR es Salaam ilizizima, ilipambwa kwa rangi nyekundu na nyeupe katika mitaa mbalimbali. Furaha isiyo na kifani, isiyoelezeka ilitosha kuwapeleka Simba kwenye fainali ya Kombe la Shirikisho ambayo watacheza dhidi ya...

Maisha Manase: Mwimbaji wa Gospo anayepeta Marekani

MIONGONI mwa wanamuziki wa Injili wenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)  waofanya vyema nchini Marekani ni Maisha Manase anayeishi mjini Chicago. Safu hii imefanikiwa kufanya mahojiano ni mwimbaji huyo ambaye kwa...

Jinsi Ferguson alivyosajili makipa Man United

MANCHESTER, England DE Gea ni mmoja wa wachezaji waandamizi wa kikosi cha Manchester United hivi sasa, alijiunga mwaka 2011 akitokea Atletico Madrid, wakati huo akiwa na miaka 20 na kufanikiwa kucheza kwa miaka miwili...

SUNDAY MANARA ALIBATIZWA JINA LA ‘COMPUTER’ AKILINGANISHWA NA MASHINE INAYOFANYA HESABU HARAKA SANA

NA HENRY PAUL UNAPOZUNGUMZIA wachezaji wa Tanzania waliocheza soka kwa kiwango cha juu, kamwe huwezi kuacha kulitaja jina la kiungo mshambuliaji Sunday Manara au Computer kama wapenzi wa soka nchini walivyozoea kumwita.

Anthony Martial haeleweki duniani, wala mbinguni

NA AYOUB HINJO MARA nyingi huwa napenda kuwasikiliza wakongwe wakiwa wanazungumzia timu zao za zamani, wakati wote huwa na chembechembe za unafiki fulani hivi usioumiza. Hawataki kuharibu taswira zao kwa timu...

Waingereza bado hawamwamini Harry Kane?

NA AYOUB HINJO KAMA mchezo wa soka ungekuwa unachezwa midomoni basi England wangekuwa mabingwa katika kila mashindano au michuano iwe ya Ulaya au Dunia, wale watu wanaongea haswa. Ndugu yangu, Ally...

Voice Wonder: Bongo Fleva imekuwa muziki rahisi

NA JEREMIA ERNEST MWANZONI mwa miaka ya 2000, mwanamuziki Ismail Ally, maarufu kama Voice Wonder, alipata nafasi ya kuvuma katika muziki wa Bongo Fleva, akiwa ndani ya kundi la Dom Land Family lililokuwa na maskani yake jijini...

Taifa Stars na mataifa mengine 15 yaliyotinga Chan 2020

NA AYOUB HINJO TIMU 16 zitazoshiriki michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Ligi za Ndani (CHAN 2020), nchini Cameroon, zimekamilika baada ya juzi kuchezwa michezo ya mwisho ya kutafuta nafasi ya kutinga katika michuano hiyo.

Ngorongoro Heroes tupo nyuma yenu

TIMU ya Tanzania Bara ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes, leo jioni inatarajia kucheza na Kenya katika mchezo wa fainali utakaochezwa kwenye Uwanja wa Njeru, Uganda. Fainali hiyo inatarajiwa kuwa na ushindani mkali...

Samatta ‘Poppa’ alivyojitosa takwimu za kiume usiku wa Uefa 2019-20

LONDON, England USIKU wa juzi, ulikuwa mtamu kwa mashabiki wa soka la Ulaya pale hatua ya makundi ya Ligi Mabingwa ilipoanza, mechi kadhaa zikichezwa, kabla ya nyingine kuendelea usiku wa kuamkia jana.
- Advertisement -

Latest News

Klabu zamiminika kuomba kutumia U/Nelson Mandela

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), umesema umeanza...
- Advertisement -

Kipa mpya Azam atamba kumsaulisha Abarola

NA ZAINAB IDDY KIPA mpya wa Azam, David Kissu, ameuahidi uongozi na mashabiki wa timu hiyo kuwa atajituma na...

Yanga: Hatuna mpango na wasugua benchi Msimbazi

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga, umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji wanasugua benchi katika klabu ya Simba kwa...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...