Monday, January 18, 2021

Maoni

Michezo imerudi, wachezaji sasa kuvuna walichopanda

RAIS Dk. John Magufuli ameruhusu shughuli za michezo, ikiwamo Ligi Kuu Tanzania Bara kurejea kuanzia Juni Mosi, mwaka huu, ikiwa ni baada ya kusimamishwa tangu Machi 17, mwaka huu. Serikali ilisimamisha shughuli za mikusanyiko,...

Tuanze sasa safari Kombe la Dunia 2022

Mwandishi Wetu DROO ya hatua ya makundi ya mechi za kufuzu fainali za Kombe la Dunia za mwaka 2022 ilichezeshwa siku chache zilizopita, ambapo Tanzania imeangukia Kundi J, pamoja na...

Kila la heri Taifa Stars, tupo nyuma yenu

MWANDISHI WETU LEO timu ya Tanzania,Taifa Stars, itashuka kwenye Uwanja wa Taifa,Dar es Salaam kucheza na Guinea ya Ikweta ukiwa ni mchezo wa kwanza wa kuwania kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika...

AMELIKOROGA

LOS ANGELES, Marekani MASHABIKI wa LA Galaxy ya Marekani, usiku wa kuamkia jana, wamechukizwa na kitendo alichofanya mshambuliaji wao nguli, Zlatan Ibrahimovic, baada ya timu yao kupokea kichapo cha mabao 5-3 kutoka kwa LAFC...

Sylvia asitelekezwe Miss World 2019

MISS Tanzania 2019, Sylvia Sebastian kutoka Mwanza, anatarajiwa kuipeperusha Bendera ya Tanzania fainali za 69 za Miss World zinazotarajiwa kufanyika Desemba 14, mwaka huu kwenye ukumbi wa ExCeL, jijini London, Uingereza.

Wadau soka waamke kuzisaidia Mtibwa Sugar, Biashara United

Wadau soka waamke kuzisaidia Mtibwa Sugar, Biashara United TIMU ya Mtibwa Sugar imeendelea kufanya vibaya Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya kufungwa michezo mitatu mfululizo. Msimu huu unaonekana ni mbaya kwa timu hiyo, tofauti...

Stars ilale, iamke ifikirie ushindi kwa Wasudan

TIMU ya Tanzania, Taifa Stars, inajiandaa kucheza na Sudan Jumamosi wiki hii kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salam, ukiwa ni mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu fainali za Afrika kwa wachezaji wanaocheza Ligi ya Ndani (CHAN), zitakazofanyika mwakani nchini Cameroon.

Makocha wawasaidie akina Fei Toto, Aiyee, Tshabalala

Na Mwandishi Wetu ALIYEKUWA kocha wa makipa wa Yanga, Juma Pondamali, aliwahi kukaririwa akisema kuwa wachezaji wa sasa hawajitumi uwanjani tofauti na ilivyokuwa kwa wenzao wa zamani. Kauli hiyo ya kipa huyo wa zamani...

Wasanii, waandaaji wa filamu jifunzeni kwa ‘Cop’s Enemy’

NA SISCA MACHABA (TUDARCo) USIKU wa Ijumaa iliyopita katika ukumbi wa Cinema Century, Mlimani City, Dar es Salaam, ulifanyika uzinduzi wa filamu ya Kimataifa ya Cop’s Enemy ambayo imeshirikisha waigizaji kutoka Australia, Ghana na Tanzania.

Chonde chonde waamuzi msimu mpya Ligi Kuu unakuja

Na Mwandishi wetu PANZIA la Ligi Kuu Tanzania Bara, litafunguliwa rasmi Jumamosi wiki hii, kwa timu tano kuvaana katika viwanja mbalimbali nchini. Maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu yamekamilika kwa timu nyingi,...
- Advertisement -

Latest News

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...
- Advertisement -

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na ndiyo maana timu hiyo imeshinda...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi Kuu Tanzania Bara katika kipindi...

JDart Nation wapanga kutawala Africa

CHRISTOPHER MSEKENA MWANAMUZIKI na bosi wa JDart Nation, JDart, amesema miongoni mwa mipango yake kwa mwaka 2021 ni kuhakikisha...

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki za Ligi Kuu Tanzania Bara...