Friday, September 25, 2020

Maoni

WENGER ANAMTAFUTA NINI SANCHEZ?

Ana dalili za kumuudhi wikiendi hii LONDON, England USIJE ukashangaa kesho Arsene Wenger akamuudhi mshambuliaji wake, Alexis Sanchez. Tatizo hilo halitakuwa kwenye upande wa mkataba. Hakutakuwa na tatizo la masuala ya nidhamu ndani na nje ya uwanja. Bali kocha huyo wa Arsenal atamwambia...

ZANZIBAR ISISAHAULIKE TENA AFCON 2019

NA HASSAN DAUDI KWA utafiti wangu mdogo, ni wachezaji wachache tu kutoka Zanzibar wanaopata nafasi kwenye kikosi cha timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars. Uteuzi wa kikosi cha Stars umekuwa ukiangalia zaidi wachezaji wanaokipiga Bara. Lakini pia, hata wale mastaa wachache...

KLABU ZITUNZE KUMBUKUMBU ZA WACHEZAJI

SIMBA imenusurika kuondolewa kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho (FA), baada ya Polisi Dar es Salaam kuwasilisha rufaa kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), wakipinga kumchezesha beki wa timu hiyo, Novat Lufunga, katika mchezo uliochezwa Jumapili iliyopita kwenye Uwanja...

SABABU TATU ZA WENYEJI GABON KUONDOLEWA MAPEMA AFCON

LIBREVILLE, Gabon USIKU wa Jumapili ya wikiendi iliyopita, kikosi cha timu ya taifa ya Gabon kilikuwa ni cha kwanza kutolewa hatua ya makundi ya Afcon, baada ya kulazimishwa suluhu na Cameroon, ambapo mara ya mwisho kwa mwenyeji kutolewa hatua...

WAAMUZI WASIPINDISHE SHERIA 17 ZA SOKA

MWAMUZI Hussein Athumani kutoka mkoani Katavi, ameondolewa katika orodha ya waamuzi wanaochezesha Ligi Kuu Tanzania Bara, kwa maelekezo kwamba alishindwa kasi ya mchezo kati ya Majimaji na Yanga. Mchezo huo ulimalizika kwa Yanga kushinda bao 1-0 uliochezwa hivi karibuni kwenye...

TATIZO NI TOFAUTI YA VIPAUMBELE VYA KOCHA NA VIONGOZI TFF

NA LEONARD MANG’OHA SIKU kadhaa zilizopita Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lilisitisha mkataba wa aliyekuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa, Taifa Stars, Charles Boniface Mkwassa “Master.” Kusitishwa kwa mkataba wa Mkwassa kulionekana kuibua hisia na maswali kadhaa miongoni mwa wapenda...

MALINZI USIMWONEE SONI KIM PAULSEN

NA HONORIUS MPANGALA KUNA mambo hayawezekani katika maisha ya kila siku ya binadamu, lakini kwa sababu ya misimamo kwenye soka tuliko sisi inawezekana, sidhani kama waliotalikiana wanaweza kurejeana kirahisi kwa sababu ya maendeleo ya mmoja wao, kinachotokea ni kumwombea mabaya...

PAYET JIANGALIE, HAWA WENZAKO WALIJUTIA MAAMUZI YAO BAADAYE

LONDON, England SUALA la mchezaji kulazimisha kuondoka ndani ya klabu yake na kuanzisha visa huwa ni nadra kutokea na iwapo likitokea, ni lazima kuwe na mizozo inayosababisha timu husika kupoteza mwelekeo katika ligi. Aidha, mzozo huo hauwezi kuwa mkubwa iwapo mchezaji...

SIMBU, MAGDALENA WAKIWEZESHWA MAPEMA TANZANIA ITANG’ARA LONDON

NA HASSAN DAUDI FILBERT Bayi ni miongoni mwa wanariadha wachache waliowahi kuipeperusha vema bendera ya Tanzania katika michuano ya kimataifa. Mwaka 1973 akawa mshindi wa mbio za mita 1500 katika michuano ya All-Africa Games kabla ya kutetea ubingwa wake miaka mitano...

MAANDALIZI YA KWENDA CAMEROON YAANZE

FAINALI zijazo za Kombe la Afrika (Afcon) zimepangwa kufanyika  mwaka 2019 nchini Cameroon, huku Tanzania ikiwa kwenye Kundi L pamoja na Uganda, Lesotho na Cape Verde. Katika fainali zinazoendelea nchini Gabon, Tanzania ilishindwa kufuzu baada ya kufanya vibaya kwenye kundi...
- Advertisement -

Latest News

Azam FC yakiri Mbeya City kiboko

NA WINFRIDA MTOI LICHA ya kuchukua alama tatu kwa Mbeya City, uongozi wa Azam...
- Advertisement -

Niyonzima ala kiapo mechi za ugenini

NA ZAINAB IDDY NAHODHA msaidizi wa Yanga, Haruna Niyonzima, amesema kuwa mipango ya timu yao ni kuwa na mwendelezo...

Yanga achana nao

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga umekuja na mkakati maalum wa kuhakikisha wanakusanya pointi tatu kila mchezo, wakianzia mechi...

CHAMA GUMZO KILA KONA

NA WINFRIDA MTOI KIWANGO kilichoonyeshwa na kiungo wa Simba, Clatous Chama katika mchezo wa juzi wa Ligi Kuu Tanzania...

United ‘kimeo’ yamtoa povu Evra

MANCHESTER, EnglandBEKI wa zamani wa Manchester United, Patrice Evra, amekerwa na namna mambo yanayoendelea katika klabu hiyo, hasa ishu za usajili.