Thursday, October 29, 2020

michezo kimataifa

Katwila: Sitaidharau Mbeya City

NA VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Ihefu, Zuberi Katwila, amesema hawaraidharau  Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaochezwa Jumapili kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya. Katwila ameiongoza...

Kocha apokea kipigo kwa shingo upande

 NA  VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Mwadui, Khalid Adam, amesema amesikitishwa na kipigo cha mabao 6-1 kutoka kwa JKT Tanzania na sasa wanaelekeza nguvu katika mchezo unaofuata dhidi ya Simba.

KMC kumaliza hasira kwa Gwambina

NA WINFRIDA MTOI BAADA ya kuchezea kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Yanga, kocha msaidizi wa timu ya Manispaa ya Kinondoni (KMC), Habib Kondo, amesema watahamishia hasira kwa Gwambina  wanaotarajia kukutana Ijumaa wiki hii,...

Tshishimbi atambulishwa kuvaa uzi wa AS Vita

NA MWENDISHI WETU KIUNGO wa zamani wa timu ya  Yanga, Papy Tshishimbi, ametambulishwa katika kikosi cha AS Vita ya DR Congo baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili. Tshishimbi  ambaye aliitumikia...

Kaseja: Hatukuwa dhaifu kwa Yanga

NA ZAINAB IDDY NAHODHA wa timu ya Manispaa ya Kinondoni (KMC),  amesema  hawakuwa dhaifu mbele ya Yanga, licha ya kuchapwa mabao 2-1, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa...

Kaze amuibua Zahera, aionya Simba

NA ZAINAB IDDY KOCHA wa zamani wa timu ya Yanga, Mwinyi Zahera, amesema aina ya mpira unaocheza kwa sasa na tiomu hiyo, Simba wasiwachukulie rahisi, kwani wanaweza kuwanyang’anya taji lao msimu huu.

Mtibwa yaitungua Azam Jamhuri, Prisons yazidi kupeta

NA GLORY MLAY TIMU ya Azam FC imepoteza mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara jana baada ya kufungwa na Mtibwa Sugar bao 1-0 kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.

KIPIGO CHA PILI MFULULIZO:Sven akalia kuti kavu Simba

Wengine benchi la ufundi watajwa, yeye alia na akina Bocco, Morrison NA WINFRIDA MTOI KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, amezidi kujiweka katika wakati mgumu Msimbazi baada ya kikosi chake hana...

Yanga yazidi kunoga

*Bwana Mipango Senzo, mtaalam Kaze waungana *Biashara United, Gwambina kukiona cha moto ZAINAB IDDY NA WINFRIDA MTOI YANGA kumezidi kunoga kwani baada ya kutwaa pointi tatu katika mchezo...

Gwambina kuishambulia KMC

NA GLORY MLAY KOCHA msaidizi wa Gwambina, Athumani Bilali 'Bilo', amesema  atacheza soka la kushambulia na kujilinda kwa muda wote dhidi ya kikosi cha Manispaa ya Kinondoni (KMC), ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...
- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...
- Advertisement -

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...