Monday, August 10, 2020

Michezo

Klabu zamiminika kuomba kutumia U/Nelson Mandela

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), umesema umeanza kupokea maombi kutoka kwa baadhi ya klabu zinazohitaji kutumia Uwanja wa Nelson Mandela, uliopo mjini Sumbawanga, kwa Ligi Kuu Tanzania...

Kipa mpya Azam atamba kumsaulisha Abarola

NA ZAINAB IDDY KIPA mpya wa Azam, David Kissu, ameuahidi uongozi na mashabiki wa timu hiyo kuwa atajituma na kumsahau Razack Abarola aliyeondoka katika kikosi hicho. Kissu amejiunga na klabu ya...

Yanga: Hatuna mpango na wasugua benchi Msimbazi

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga, umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji wanasugua benchi katika klabu ya Simba kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara na michuano mingine.

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard Morrison, aliyesaini mkataba wa miaka miwili Simba kwa msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard Morrison, aliyesaini mkataba wa miaka miwili Simba kwa msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara...

Fei Toto ana jambo lake

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’, ameonekana kuwavuruga Wanayanga baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa nyota huyo yupo katika mazungumzo ya siri na viongozi wa Simba. Kinachowavuruga...

Yanga anasa mrithi wa Abdul

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga jana umweingia mkataba wa miaka miwili na beki wa kulia wa timu ya Mtibwa Sugar, Kibwana Shomari. Yanga imemsajili Shomari akitajwa kuwa mrithi wa beki...

Jeuri ya Simba kwa Morrison hii hapa

NA ASHA KIGUNDULA WAKATI hatma ya Bernad Morrison kuichezea Simba au kubaki Yanga ikitarajiwa kujulikana leo, imeelezwa kuwa inaonekana wazi Wekundu wa Msimbazi hawajakurupuka kumtangaza nyota huyo. Simba juzi ilimtangaza Morrison...

BAADA YA KUJIUZULU SIMBA… ...

MICHAEL MAURUS NA ASHA KIGUNDULA KUNA sehemu ya mashairi ya wimbo wa mkali wa Hip Hop nchini, Fareed Kubanda ‘Fid Q’, yanayosema ‘akikupiga ngumi ya jicho na wewe mpige ya sikio, akikuuliza unaonaje na...

Beki aliyetakiwa Yanga atua Dodoma Jiji FC

NA ZAINAB IDDY KLABU ya Dodoma Jiji FC imefanikiwa kunasa saini ya beki wa Tanzania Prisons, Cleophace Mkandala, aliyetakiwa na Yanga kwa msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara na michuano mingine.
- Advertisement -

Latest News

Klabu zamiminika kuomba kutumia U/Nelson Mandela

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), umesema umeanza...
- Advertisement -

Kipa mpya Azam atamba kumsaulisha Abarola

NA ZAINAB IDDY KIPA mpya wa Azam, David Kissu, ameuahidi uongozi na mashabiki wa timu hiyo kuwa atajituma na...

Yanga: Hatuna mpango na wasugua benchi Msimbazi

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga, umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji wanasugua benchi katika klabu ya Simba kwa...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...