Saturday, August 15, 2020

Michezo

Beki aliyetakiwa Yanga atua Dodoma Jiji FC

NA ZAINAB IDDY KLABU ya Dodoma Jiji FC imefanikiwa kunasa saini ya beki wa Tanzania Prisons, Cleophace Mkandala, aliyetakiwa na Yanga kwa msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara na michuano mingine.

Wazir Jr ataka jezi ya Tariq Yanga

NA ZAINAB IDDY MSHAMBULIAJI mpya wa timu ya Yanga, Wazir Junior, amesema atajisikia faraja iwapo atapewa jezi namba 10 iliyokuwa inavaliwa na Tariq Seif. Wazir amesajiliwa na Yanga kwa mkataba wa...

SHIBOUB ASUBIRI SAA KUSAINI AZAM

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa klabu ya Azam upo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa kiungo wa Simba, Msudan Sharaf Shiboub, kwa  msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara na michuano mingine.

Kagera Sugar wapindua meza Yanga

NA ZAINAB IDDY MATUMAINI ya Yanga kumpata kocha Mecky Mexime, yameyeyuka ghafla baada ya uongozi wa klabu yake ya Kagera Sugar, kupindua meza kibabe kwa kumbakiza katika kikosini chao. Yanga ilipanga...

Ahadi ya Manara 80%

NA WINFRIDA MTOI AHADI ya Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Haji Manara kuwa watafyatua mioyo ya watu na kulazwa hospitali kwa ugonjwa wa moyo, imekamilika kwa asilimia kubwa na kilichobaki ni...

Kwa mido huyu, msimu ujao na uje tu

NA WINFRIDA MTOI KIUNGO wa kimataifa wa Zambia, Larry Bwalya, anatarajiwa kuwapa uhondo wa aina yake wapenzi wa Yanga msimu ujao kwani hiyo shughuli yake si mchezo, akiwa amemng’oa Clatous Chama wa Simba katika...

Kibri cha Yanga kwa Yondani kipo hapa

NA MOHAMED KASSARA JEURI ya klabu ya Yanga kusita kuwaongezea mikataba mipya mabeki wao wawili, Kelvin Yondani na Juma Abdul imetokana na kuwa na uhakika wa kupata wachezaji sahihi wa kuziba mapengo yao katika...

SIMBA WAANZA RASMI JEURI YAO

NA WINFRIDA MTOI BAADA ya ‘kuwachora’ wapinzani wao Yanga na Azam, wanavyofanya fujo za kutambulisha wachezaji wao wapya tayari kwa msimu ujao, Simba wameibuka na kuahidi kuanza kuonyesha jeuri yao ya usajili leo.

BWALYA MALI YA YANGA

LUSAKA, ZAMBIA MSHAMBULIAJI hatari wa klabu ya El-Gouna FC ya Misri, Walter Bwalya, ametajwa kumalizana na Yanga, tayari kuitumikia klabu hiyo msimu ujao, kwa mujibu wa habari zilizovuja jana jijini Lusaka, Zambia.

Mwamnyeto Team Kiba, Kagere Samata

NA ASHA KIGUNDULA                                MSHAMBULIAJI hatati wa Simba, Meddie Kagere ni miongoni mwa mastaa watakaounda kikosi cha Mbwana Samatta, huku...
- Advertisement -

Latest News

Wakili kiboko anunua kesi ya Morrison

NA WINFRIDA MTOI WAKALI aliyejizolea umaarufu nchini kutokana na uwezo na rekodi yake ya...
- Advertisement -

Klabu zamiminika kuomba kutumia U/Nelson Mandela

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), umesema umeanza kupokea maombi kutoka kwa baadhi...

Kipa mpya Azam atamba kumsaulisha Abarola

NA ZAINAB IDDY KIPA mpya wa Azam, David Kissu, ameuahidi uongozi na mashabiki wa timu hiyo kuwa atajituma na...

Yanga: Hatuna mpango na wasugua benchi Msimbazi

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga, umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji wanasugua benchi katika klabu ya Simba kwa...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...