Tuesday, October 20, 2020

Michezo

Kaze kombora Simba arusha

NA ZAINAB IDDYMASHABIKI, wanachama na viongozi wa Simba mpo? Kuna salamu zenu kutoka kwa Kocha Mkuu ajaye wa Yanga, Cedric Kaze, kuhusiana na mambo mawili. Kaze aliyetarajiwa kutua nchini usiku wa kuamkia leo au...

Alliance Girls yabakiza mambo matatu

NA DAMIAN MASYENENE, SHINYANGA KOCHA wa timu ya Alliance Girls, Ezekiel Chobanka, wanaendelea na maandalizi kwa kasi zaidi kuhakikisha wanafanya vyema msimu ujao wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara. Akizungumza...

Mamilioni yamwagwaYanga kisa Morrison

NA ZAINAB IDDY MAMBO ni bam bam Yanga kwani leo mamilioni ya fedha yanatarajiwa kumwagwa ndani ya kikosi cha Wanajangwani hao, huku Bernard Morrison akichangia hilo. Mamilioni hayo wapewa wachezaji, ikiwa...

SIMBA HII UTATOKAJE

NA ASHA KIGUNDULA- DODOMA KWA Simba hii, kazi ipo msimu huu kwani walichoifanyia JKT Tanzania kwenye Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma jana, wapinzani wao wajao, wakiwamo Yanga, wajipange hasa. Mbao mawili...

Adui wa Kagere atajwa

NA ZAINAB IDDY KINARA wa mabao wa Ligi kuu Tanzania Bara wa muda wote, Mohammed Hussein ‘Mmachinga’, amemtaja adui wa Meddie Kagere wa Simba katika vita ya kuwania kiatu cha dhahabu msimu huu.

LAMINE KUPEWA KOZI MAALUM

NA MICHAEL MAURUS LAMINE Moro amerejesha matumaini ya wapenzi wa Yanga kuelekea mchezo wao wa kukata na shoka wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya watani wao wa jadi, Simba, utakaochezwa Oktoba 18, mwaka...

KISA KONA YA CARLINHOS… ...

NA ZAINAB IDDY BAO la Yanga lililofungwa na Lamine Moro juzi katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar kutokana na mpira wa kona uliochongwa na Carlos Carlinhos, limewaibua vigogo wa Wanajangwani hao na kuitisha kikao...

HUYU MUGALU ATAWALAZA WATU NA VIATU TU!

NA ONESMO KAPINGA HAKIKA sijapata utamu wa mshambuliaji mpya wa Simba, raia wa DR Congo, Chris Mugalu,kutokana na jinsi anavyochezesha katika kikosi hicho. Mugalu ni miongoni mwa wachezaji wapya wa kigeni...

Wachezaji Gwambina wapewa muda

NA ZAINAB IDDY KOCHA wa timu wa  Gwambina, Fulgence Novatus, amesema amewapa muda wachezaji wake  ili aweze kutathimini kiwango cha kila mmoja. Gwambina inayoshiriki kwa mara ya kwanza ligi hiyo,  haijashinda katika...

Kisu amfunika vibaya Manula

NA ZAINAB IDDY KIPA  wa timu ya Azam, David Kisu, amemfunika Aishi Manula  wa Simba kutokana na kutoruhusu bao katika michezo minne ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Kisu aliyesajiliwana...
- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...
- Advertisement -

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...