Saturday, August 15, 2020

Michezo

YANGA HII HADI RAHA

Mwamvita Mtanda ACHANA na ushindi wa mechi mbili mfululizo, lakini pia manjonjo ya Benard Morrison, soka linalotandazwa na kikosi cha Yanga, limeanza kuwakuna wapenzi wa klabu hiyo, lakini pia wachambuzi wa soka hapa nchini.

Jeuri mpya ya Simba hii hapa

Winifrida Mtoi SIMBA wanastahili kutembea vifua mbele kutokana na kile kinachoendelea ndani ya kikosi chao, huku jeuri yao kubwa ikiwa ni moja tu, ubora wa safu yao ya kiungo yenye mafundi wanaojua kuuchezea mpira, lakini pia...

EYMAEL: YANGA NINAYOITAKA MTAIPENDA

Tima Sikilo KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, amewataka Wanajangwani kuwa wapole kwani anahitaji kuipika timu yao kuanzia chini ili kuwa moto wa kuotea mbali. Eymael amejiunga na Yanga katika kipindi cha dirisha dogo...

EYMAEL: YANGA NINAYOITAKA MTAIPENDA

Tima Sikilo KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, amewataka Wanajangwani kuwa wapole kwani anahitaji kuipika timu yao kuanzia chini ili kuwa moto wa kuotea mbali. Eymael amejiunga na Yanga katika kipindi cha dirisha dogo...

Mkude ashikwa uchawi Simba

Mwamvlta Mtanda KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude, ametajwa kuchangia kuiponza timu yake hiyo kuruhusu kufungwa mabao katika mechi za hivi karibuni. Kwa siku za hivi karibuni, pamoja na kushinda mechi zake, Simba imekuwa ikiruhusu...

YONDANI, NYONI NDIO BASI TENA?

Jessca Nangawe MABEKI wakongwe Kelvin Yondan wa Yanga na Erasto Nyoni wa Simba, wamejikuta kuwa na kazi ya ziada kurejesha viwango vyao ili kutetea nafasi zao ndani ya vikosi vyao. Yondan ambaye hajacheza...

Azam yazifuata Simba, Yanga

Asha Kigundula MABINGWA watetezi wa Kombe la FA, maarufu michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC), Azam FC, wametinga hatua ya 16 bora, baada ya kuifunga Friends Rangers mabao 3-1 katika mchezo uliochezwa jana kwenye Uwanja wa...

Chonde chonde waamuzi

MICHUANO ya Kombe la FA, maarufu Azam Sports Federation Cup (ASFC), inatarajiwa kuendelea leo kwa Azam kucheza na Friends Rangers kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Tayari kuna  malalamiko mengi kutoka kwa wadau kuhusu waamuzi kutochezesha...

Gallaxy yamtema Ninja

NA IBRAHIM MAKAME, ZANZIBAR  KlABU ya Gallaxy B ya Marekani, imevunja mkataba na beki wa timu yake, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ kwa madai ya kushindwa kutekeleza masharti.  Akizugumza na BINGWA visiwani hapa  meneja wa...

Straika Mwadui atoa siri kuifunga Simba

NA WINFRIDA MTOI MSHAMBULIAJI wa Mwadui, Mathias Gerald, amesema ana bahati ya kuifunga Simba kutokana na mbinu anazopewa na kocha wake kukabiliana na mabeki wa timu hiyo. Gerald aliifungia timu yake bao...
- Advertisement -

Latest News

Wakili kiboko anunua kesi ya Morrison

NA WINFRIDA MTOI WAKALI aliyejizolea umaarufu nchini kutokana na uwezo na rekodi yake ya...
- Advertisement -

Klabu zamiminika kuomba kutumia U/Nelson Mandela

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), umesema umeanza kupokea maombi kutoka kwa baadhi...

Kipa mpya Azam atamba kumsaulisha Abarola

NA ZAINAB IDDY KIPA mpya wa Azam, David Kissu, ameuahidi uongozi na mashabiki wa timu hiyo kuwa atajituma na...

Yanga: Hatuna mpango na wasugua benchi Msimbazi

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga, umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji wanasugua benchi katika klabu ya Simba kwa...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...