Thursday, October 29, 2020

Michezo

Mkude ashikwa uchawi Simba

Mwamvlta Mtanda KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude, ametajwa kuchangia kuiponza timu yake hiyo kuruhusu kufungwa mabao katika mechi za hivi karibuni. Kwa siku za hivi karibuni, pamoja na kushinda mechi zake, Simba imekuwa ikiruhusu...

YONDANI, NYONI NDIO BASI TENA?

Jessca Nangawe MABEKI wakongwe Kelvin Yondan wa Yanga na Erasto Nyoni wa Simba, wamejikuta kuwa na kazi ya ziada kurejesha viwango vyao ili kutetea nafasi zao ndani ya vikosi vyao. Yondan ambaye hajacheza...

Azam yazifuata Simba, Yanga

Asha Kigundula MABINGWA watetezi wa Kombe la FA, maarufu michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC), Azam FC, wametinga hatua ya 16 bora, baada ya kuifunga Friends Rangers mabao 3-1 katika mchezo uliochezwa jana kwenye Uwanja wa...

Chonde chonde waamuzi

MICHUANO ya Kombe la FA, maarufu Azam Sports Federation Cup (ASFC), inatarajiwa kuendelea leo kwa Azam kucheza na Friends Rangers kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Tayari kuna  malalamiko mengi kutoka kwa wadau kuhusu waamuzi kutochezesha...

Gallaxy yamtema Ninja

NA IBRAHIM MAKAME, ZANZIBAR  KlABU ya Gallaxy B ya Marekani, imevunja mkataba na beki wa timu yake, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ kwa madai ya kushindwa kutekeleza masharti.  Akizugumza na BINGWA visiwani hapa  meneja wa...

Straika Mwadui atoa siri kuifunga Simba

NA WINFRIDA MTOI MSHAMBULIAJI wa Mwadui, Mathias Gerald, amesema ana bahati ya kuifunga Simba kutokana na mbinu anazopewa na kocha wake kukabiliana na mabeki wa timu hiyo. Gerald aliifungia timu yake bao...

Azam, Friends hapatoshi Uhuru

NA WINFRIDA MTOI MABINGWA watetezi wa michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC), Azam FC, leo kinatarajiwa kushuka uwanjani kucheza na Friends Rangers kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Azam itaingia uwanjani...

Samatta amuibua Marcio Maximo

NA MWANDISHI WETU Kocha wa zamani wa timu ya Taifa, Taifa Stars,  Marcio Maximo,  amesema Tanzania ina wachezaji wengi wenye vipaji kama Mbwana Samatta, lakini wanakosa msingi bora ya kuwaibua. Maximo ambaye aliifundisha Stars kuanzia mwaka...

Eymael aanza tambo, kisa Morrison

NA WINFRIDA MTOI USHINDI wa bao 3-1 dhidi ya Singida United, umeendelea kumpa jeuri Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, akitamba kuwa tayari timu zote za Ligi Kuu Tanzania Bara, ameziweka kiganjani. Eymael...

Sven aja mkakati mpya

NA WINFRIDA MTOI LICHA ya kupata ushindi mfululizo, Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vanderbroeck, bado hajaridhika na anachohitaji ni ushindi bila kuruhusu bao. Baada ya kuchukua pointi sita jijini Mwanza, zikiwa ni mechi za...
- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...
- Advertisement -

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...