Monday, August 10, 2020

Sport Extra

DORTMUND v BAYERN Mechi iliyojaa visasi, ubingwa na historia kubwa Ujerumani

DORTMUND, Ujerumani NI LEO pale Signal Iduna Park, ambako wenyeji wa uwanja huo, Borussia Dortmund, watawakaribisha vigogo wa Bundesliga, Bayern Munich, ukiwa ni mchezo wa 28 kwa kila timu msimu huu.

Man United kukomaa na Bailly

MANCHESTER, England MANCHESTER United wapo tayari kukaa chini, kuanza maongezi ya mkataba mpya na beki wao Eric Bailly ambaye kandarasi yake inamalizika msimu ujao. Beki huyo raia wa Ivory Coast alikuwa...

Umtiti: Arsenal? Acheni uzushi bhana

CATALUNYA, Hispania BEKI wa Barcelona, Samuel Umtiti amewashangaa wanaosema alikuwa anataka kujiunga na kikosi cha Arsenal msimu huu. Inadaiwa beki huyo wa kimataifa wa Ufaransa alihusishwa na Arsenal kabla hawajamsajili David...

Ceballos: Hakuna timu hatari kama Liverpool

LONDON, England KWA mechi alizocheza hadi sasa ndani ya Ligi Kuu England, kiungo wa Real Madrid anayecheza kwa mkopo katika kikosi cha Arsenal, Dani Ceballos, amefunguka, akisema hajaona timu hatari zaidi ya wakali wa...

Kompany atokwa povu kisa Stones

MANCHESTER, England ALIYEKUWA nahodha wa Manchester City, Vincent Kompany, anaamini beki wa kati wa timu hiyo, John Stones, ni mmoja kati ya wachezaji wenye viwango vya juu, hivyo amemtaka kuwaziba midomo wanaomponda.

‘Huyo Timo Werner hakamatiki Bundesliga’

MUNICH, Ujerumani MAMBO yamezidi kumnyookea straika wa RB Leipzig, Timo Werner ambaye anahusishwa kutakiwa na vigogo wa soka Ulaya kama Real Madrid, Manchester United, Barcelona na Liverpool. Straika huyo mwenye umri...

Mechi ya Liverpool, Atletico yaleta majanga England

MERSEYSIDE, England HII inaweza kukushtua. Unaikumbuka ile mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya Liverpool na Atletico Madrid iliyochezwa Uwanja wa Anfield? Ndiyo, ile mechi ambayo ilikuwa mkuki moyoni kwa...

Silva: Bruno atasubiri sana Man United

MANCHESTER, England KIUNGO wa Manchester City, Bernardo Silva amemjibu nyota mwenzie wa timu ya Taifa ya Ureno, Bruno Fernandes aliyesajiliwa Manchester United Januari, mwaka huu kwa dau la pauni milioni 67 kutoka Sporting Lisbon.

Haaland apelekwa kilazima Liverpool

DORTMUND, Ujerumani KAMA Erling Haaland ataondoka Borussia Dortmund basi ameshauri aende Liverpool, kwani Jurgen Klopp atamtengeneza kuwa mchezaji mzuri zaidi. Hayo yote yamesemwa na kocha wa zamani wa England, Fabio Capello...

‘Salah alikaribia kujiunga Madrid’

MERSEYSIDE, England SIRI imefichuka. Kumbe staa wa Liverpool, Mohamed Salah alishindwa kukataa ofa ya kujiunga na Real Madrid mwaka 2018, huku wakala wake alisubiri nyota huyo kukubali ofa hiyo kabla ya kuamua kubaki Anfield.
- Advertisement -

Latest News

Klabu zamiminika kuomba kutumia U/Nelson Mandela

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), umesema umeanza...
- Advertisement -

Kipa mpya Azam atamba kumsaulisha Abarola

NA ZAINAB IDDY KIPA mpya wa Azam, David Kissu, ameuahidi uongozi na mashabiki wa timu hiyo kuwa atajituma na...

Yanga: Hatuna mpango na wasugua benchi Msimbazi

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga, umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji wanasugua benchi katika klabu ya Simba kwa...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...