Saturday, August 15, 2020

Uncategorized

Wakili kiboko anunua kesi ya Morrison

NA WINFRIDA MTOI WAKALI aliyejizolea umaarufu nchini kutokana na uwezo na rekodi yake ya kushinda kesi kubwa nchini, Alex Mgongolwa, amelivalia njuga suala la mchezaji Bernard Morrison dhidi ya Yanga, akiapa kula sahani moja...

Mkongomani kumrithi Thiery Namungo

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Namungo inatarajiwa kumleta kocha mpya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Aidia Magloire, kwa msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara na michuano ya kimataifa.

Yanga kuna jambo

NA TIMA SIKILO MAMBO ni moto Yanga. Ndivyo ilivyo baada ya uongozi wa klabu hiyo kuitwa mezani na kutakiwa kuorodhesha kila kitu wanachohitaji ili kukifanya kikosi chao kutamba msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania...

Masawe: Gwambina ni kama Namungo FC

NA ZAINAB IDDY NAHODHA wa timu ya Gwambina FC, Jacob Masawe, amesema kuwa timu yao haikupanda Ligi Kuu Tanzania Bara kwa bahati mbaya, huku mipango yao, ikiwa ni kuifanya iwe kama ilivyokuwa Namungo FC...

Biashara United wakomaa na namba 10

NA ZAINAB IDDY BAADA ya juzi Polisi Tanzania kuivuruga rekodi iliyowekwa na Biashara United, kocha wa timu hiyo, Francis Baraza amedai kuwa jukumu lao kubwa ni kumaliza ndani ya nafasi 10 za juu katika...

Rutanga alamba Mil. 270/- Yanga

NA MWAMVITA MTANDA BEKI mpya wa kushoto wa Yanga, Eric Rutanga, anatarajiwa kuzoa kitita cha zaidi ya shilingi milioni 270 ndani ya mkataba wake wa miaka miwili Jangwani. Rutanga ni mmoja...

Tunawamulika mastraika bora wa muda wote

UWE SEELER REKODI ya Pele ilivunjwa na Mjerumani, Uwe Seeler, baada ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga katika michuano minne tofauti ya Kombe la Dunia.  Seeler...

Coastal Union yakomaa ‘Top 5’

NA ZAINAB IDDY BENCHI la Ufundi la timu ya Coastal Union, limesema   bado mpango wa kumaliza katika tano bora ya Ligi Kuu Tanzania Bara upo pale pale. Kocha Mkuu wa...

Gari Kubwa ahimiza wachezaji kupiga zoezi

NA HENRY PAUL NYOTA wa zamani wa timu ya soka ya Simba na Yanga, Willy Martin ‘Gari Kubwa’, amewataka wachezaji na wanamichezo wengine kuendelea kufanya mazoezi binafsi wakiwa nyumbani kwa lengo la kulinda viwango...

Nyoni asoma alama za nyakati

Na Mwamvita Mtanda BEKI wa timu ya Simba, Erasto Nyoni na Taifa Stars, amesema kuwa anatarajia kujikita katika shughuli za biashara, kama klabu yake haitamwongezea mkataba kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu...
- Advertisement -

Latest News

Wakili kiboko anunua kesi ya Morrison

NA WINFRIDA MTOI WAKALI aliyejizolea umaarufu nchini kutokana na uwezo na rekodi yake ya...
- Advertisement -

Klabu zamiminika kuomba kutumia U/Nelson Mandela

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), umesema umeanza kupokea maombi kutoka kwa baadhi...

Kipa mpya Azam atamba kumsaulisha Abarola

NA ZAINAB IDDY KIPA mpya wa Azam, David Kissu, ameuahidi uongozi na mashabiki wa timu hiyo kuwa atajituma na...

Yanga: Hatuna mpango na wasugua benchi Msimbazi

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga, umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji wanasugua benchi katika klabu ya Simba kwa...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...