Sunday, October 25, 2020

Chaneta yadaiwa Sh milioni moja

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

NA ZAINAB IDDY

CHAMA cha Netiboli Tanzania (Chaneta), kinadaiwa dola 500 za Marekani ikiwa ni zaidi ya shilingi milioni moja za Tanzania na Chama cha Dunia, kutokana na kushindwa kulipa ada ya uanachama kwa kipindi cha miaka miwili.

Akizungumza na BINGWA, kaimu mwenyekiti wa Chaneta, Zainab Mbiro, alisema kutokana na kudaiwa kiasi hicho kumewafanya wafungiwe kushiriki mashindano ya Afrika na dunia.

“Chama chetu hakina chanzo chochote cha mapato ambacho kitatusaidia kutatua matatizo madogo madogo zaidi ya kutegemea fedha za  wanachama zinazotokana na ada ambazo zina mambo mengi ya kufanyia.

“Iwapo kama fedha hizo hazitalipwa hadi mwakani, deni litaongezeka kwani kila mwaka tunatakiwa kulipa dola 250 za ada ya uanachama,” alisema Zainab.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -