Friday, October 23, 2020

CHEKA AGEUKIA NGUMI ZA RIDHAA

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

NA NYEMO MALECELA, MOROGORO


BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka, ameamua kuanzisha timu ya ngumi za ridhaa katika Mkoa wa Morogoro wa lengo la kukuza vipaji.

Akizungumza na BINGWA, Cheka alisema Manispaa ya Morogoro ina vijana wengi wenye vipaji vya kupigana ngumi, lakini hawana mwelekeo na hakuna mtu yeyote wa kuwasapoti.

Cheka alisema hatakubali kuona vijana wanaojitokeza na kuonyesha vipaji katika mchezo wa ngumi kupotea, hivyo anajipanga kuanzisha timu ya ngumi za ridhaa.

“Nawataka vijana wajitokeze kwa wingi na kuutangaza Mkoa wa Morogoro kupitia ngumi, kwani ni mchezo ambao umefanikiwa kuufanya mkoa huu kuwa bora na kuupa jina,” alisema Cheka.

Aliwataka wadau wa ngumi kujitokeza kuwekeza kwenye ngumi kwani ni  mchezo wenye vijana wengi wenye vipaji, hivyo kuwataka kumuunga mkono katika programu yake.

“Nakumbuka wakati naanza ngumi nilipata sapoti kubwa kutoka kwa viongozi wa Serikali ya mkoa, wadau mbalimbali ndio maana nilifika mbali na nikawa najituma katika michezo yangu, nilikuwa na watu wengi walikuwa wananiangalia.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -