Friday, December 4, 2020

CHEKA ASWEKWA RUMANDE

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA RAMADHAN LIBENANGA, MOROGORO

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka, jana alifikishwa katika Kituo Kikuu cha Polisi mkoani hapa akikabiliwa na tuhuma za kukiuka mkataba na kutakiwa kulipa fidia ya Sh milioni 28.

Bondia huyo mkongwe anashikiliwa na polisi kutokana na tukio alilofanya hivi karibuni la kukataa kupanda ulingoni Desemba 25, mwaka huu kutwangana na mpinzani wake, Abdallah Pazi maarufu ‘Dulla Mbabe’, katika pambano lililoandaliwa na promota Siraji Kaike.

Akizungumza na waandishi wa habari jana akiwa nje ya Kituo cha Polisi Mkoa wa Morogoro promota Kaike, alielezea kushangazwa na hatua ya Cheka kubadilika dakika za mwisho kabla ya pambano wakati walikuwa na makubaliano ya mkataba kwa mujibu wa sheria za mchezo wa ngumi.

Kaike alisema Desemba 25, mwaka huu alifungua kesi katika kituo cha polisi kilichopo Kawe, jijini Dar es Salaam.

Hata hivyo, akiwa kituoni hapo bondia huyo aligoma kuingia rumande na kusababisha mabishano makali yaliyochukua muda wa zaidi ya dakika 15, kabla ya kukubali kuvua viatu na kukabidhi vitu vyake.

Cheka ambaye alitarajiwa kupanda ulingoni Desemba 25, mwaka huu pia aligoma kupima uzito kabla ya kumvaa mpinzani wake, Dulla Mbabe, aliyekuwa tayari kwa pambano hilo baada ya kujitokeza kupima uzito.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -