Friday, October 30, 2020

Cheka atamba kumtwanga Mbabe

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA MARTIN MAZUGWA

BONDIA Francis Cheka ametamba kumshushia kipigo bondia Dulla Mbabe, katika pambano litakalopigwa Desemba  26 katika Uwanja wa Jamhuri Morogoro.

Pambano hilo lililopewa jina la usiku wa funga kazi, litasindikizwa na mapambano mengine sita, Twaha kiduku atapanda ulingoni dhidi ya Salimu Chazama, Thomas Mashali dhidi ya Chimwemwe Chiota, Mohamed Matumla na Deo Samweli.

Mapambano mengine ni Simba wa Tunduru dhidi ya Daina Mazora, Man Chuga dhidi ya Kudra Tamimu na Moro Best atazichapa na Mbwana Hamdan.

Akizungumza na BINGWA jana, Cheka ambaye ameweka kambi yake mkoani Morogoro, alisema maandalizi yake yanaendelea vizuri hivi sasa kwani anazingatia ushauri aliopewa na mwalimu wake ambapo amemtaka  afanye mazoezi pamoja na kuchukua mapumziko.

“Nataka kuendelea kufanya vizuri ndio sababu nimeamua kuja kuweka kambi mapema ili kufanya maandalizi ya nguvu,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -