Tuesday, October 20, 2020

CHEKA, DULA MBABE WAINGIA MAFICHONI

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

NA HUSSEIN OMARI

MABONDIA Francis Cheka na Dula Mbabe, wana wiki mbili za kujifua kabla ya pambano lao la kumaliza ubishi litakalofanyika jijini Dar es Salaam,  Desemba 25 kwenye Ukumbi wa PTA Sabasaba

Tayari mabondia hao wameshaingia mafichoni kwa ajili ya kujiwinda na pambano hilo ambalo pia ni sehemu ya shamrashamra ya sikukuu za Krismas na mwaka mpya ambazo hufanyika mwishoni mwa mwaka.

Promota wa pambano hilo, Kaike Siraju, aliliambia gazeti hili kuwa maandalizi ya kuelekea pambano hilo yanaendelea vizuri na mabondia hao tayari wapo kambini hapa jijini na huko Morogoro kwa lengo la kujiweka fiti.

“Ni jambo lisilofichika, Cheka na Dula Mbabe ndio mabondia bora na wanaofanya vizuri kwa sasa hapa nchini, hivyo tumeona ni vyema tuitumie Sikukuu ya Krismas kama sehemu ya kumaliza ubishi kati ya hawa mabondia.

Cheka yeye amekuwa akiendelea kujifua mkoani kwake Morogoro, wakati Dula Mbabe amejichimbia  jijini Dar es Salaam,” alisema Siraju.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -