Thursday, December 3, 2020

CHELSEA WAMWOMBA RADHI ALIYELAWITIWA

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

LONDON, England


UONGOZI wa Chelsea umeibuka na kumwomba radhi aliyekuwa mchezaji wao, Gary Johnson, ambaye hivi karibuni alitoboa siri kuwa alikuwa akilawitiwa na kocha wake klabuni hapo.

Nyota huyo, ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 57, amedai kuwa aliwahi kupewa kitita cha pauni 50,000 na Blues ili asitoboe siri hiyo.

Mapema wiki hii, Johnson alisema alilatiwa na aliyekuwa msaka vipaji ‘skauti’ wa timu hiyo, Eddie Heath.

“Tunashirikiana na Ligi Kuu England, Chama cha Soka na polisi kuwasaidia wahanga. Ni hakika kuwa Gary Johnson alikumbana na unyanyasaji huo wa kijinsia wakati alipokuwa muajiriwa hapa katika miaka ya 1970 na hapo klabu inaomba msamaha,” ilisema taarifa iliyotolewa na Chelsea.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -