Sunday, October 25, 2020

Christian Bella awapa ushauri wanaume

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

NA KYALAA SEHEYE,

MKALI wa muziki wa dansi nchini, Christian Bella, amewashauri wanaume kuwa na moyo wa kusamehe, hasa pale wapenzi wao wanapotenda makosa makubwa yanayosababisha kuvunjika kwa uhusiano.

Bella ameliambia Papaso la Burudani kuwa wimbo wake unaoitwa Amerudi, ulikuwa na lengo la kutoa elimu kwa wanaume ambao huwa hawatoi msamaha pale wanapoachwa, kisha mwanamke huyo akarudi tena akiomba warudishe mapenzi kama ilivyokuwa hapo awali.

“Sisi wanaume mara nyingi tunapenda kukumbuka makosa ya nyuma, hatupendi kusamehe kama walivyo wanawake. Wanawake ni watu wa kusamehe sana na huwa hawaangalii ya nyuma, kama anakupenda hata umkosee vipi ukimuomba msamaha anarudisha mapenzi yake,” alisema Christian Bella.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -