Wednesday, October 21, 2020

Chura wa Snura aachiwa huru

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

NA BEATRICE KAIZA

MIEZI kadhaa baada ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuifungia video ya wimbo wa Chura ulioimbwa na msanii Snura Mushi, nyota huyo wa Bongo Fleva amesema ameruhusiwa kuachia video mpya ya wimbo huo.

Akizungumza na waandishi wa habari, Snura alisema video ya kwanza ya Chura ilifungiwa na Serikali kwa kosa la kutengenezwa, kuzinduliwa na kusambazwa mtandaoni ikiwa haina maadili, ila hii mpya imefanyiwa marekebisho yaliyokidhi masharti hayo na inaweza kuchezwa bila tatizo lolote.

“Namshukuru mno Waziri Nape Nnauye kwa kuruhusu video yangu mpya kuonyeshwa kwenye runinga. Nimefanya kama ilivyotakiwa na hivi sasa video inaweza kuchezwa popote. Chura ana tabia ya kuruka ruka, hatulii ndiyo maana mimi nikamtumia nikimfananisha na mwanamke ambaye hatulii kwenye uhusiano wa kimapenzi,” alisema Snura.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -