Sunday, November 29, 2020

CLEAN SHEET ZAMPA JEURI DIDA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA HUSSEIN OMAR

KIPA namba moja wa Yanga, Deogratius Munishi ‘Dida’, amesema rekodi nzuri ya kutoruhusu bao katika mechi za watani wa jadi (clean sheet) aliyonayo, inamfanya ajiamini zaidi kuelekea mchezo wa Jumamosi baina ya timu hizo mbili.

Akizungumza na BINGWA, Dida alisema amekuwa na bahati nzuri ya kutofungwa mara kwa mara katika mechi za watani wa jadi pindi akisimama golini.
“Nimekuwa na wakati mzuri wa kupata matokeo mazuri pindi tunapocheza na Simba nikiwa nimesimama golini, hilo namshukuru Mungu,” alisema Dida.

Alisema kutokana hali hiyo, kunamfanya azidi kujiamini kukaa langoni pindi anapopewa nafasi ya kudaka katika mechi za watani wa jadi na kusisitiza yupo imara kulilinda lango.

“Mwaka jana utaona tuliwapiga Simba nje ndani, mimi nilidaka tukashinda gemu zote mabao 2 -0 nyumbani na ugenini, mwaka huu katika michuano ya Mapinduzi mpaka dakika 90 zinakwisha matokeo yalikuwa suluhu kwa hiyo naweza kusema najivunia rekodi hizi,” alisisitiza Dida.

Simba na Yanga zinatarajiwa kukutana keshokutwa Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Mbali na uhasimu wa timu hizo, mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani wa hali ya juu kutokana na mbio za ubingwa ambapo mpaka sasa hakuna timu yenye uhakika wa kuchukua ubingwa.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -