Monday, January 18, 2021

Clyne: Dah! Milner ananifanya nionekane mzigo

Must Read

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi...

MERSEYSIDE, England

BEKI wa Liverpool, Nathaniel Clyne, amedai kuwa kiwango kinachooneshwa na staa mwenzake, James Milner, kimemfanya aonekane ni mchezaji wa kawaida.

Clyne amekuwa akifanya vizuri akicheza kama beki wa kulia huku Milner ambaye kiasili ni kiungo, akipandisha mashambulizi kutoka upande wa kushoto ndani ya kikosi cha kwanza cha Liverpool kilicho chini ya kocha Jurgen Klopp.

Kinachomwacha hoi Clyne ni uwezo wa Milner kucheza nafasi nyingi uwanjani ikiwemo ile ya eneo la kiungo.

“Anafanya mambo kuwa mepesi! Nimefanya mazoezi kwa kipindi cha maisha yangu ya soka nikiwa kama mlinzi wa pembeni lakini (Milner) anarahisisha mambo mno! Anafanya hivyo huku akifunga mabao pia,” alisema Clyne.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na ndiyo maana timu hiyo imeshinda...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi Kuu Tanzania Bara katika kipindi...

JDart Nation wapanga kutawala Africa

CHRISTOPHER MSEKENA MWANAMUZIKI na bosi wa JDart Nation, JDart, amesema miongoni mwa mipango yake kwa mwaka 2021 ni kuhakikisha...

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki za Ligi Kuu Tanzania Bara...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -