Friday, November 27, 2020

CONTE AKIRI MAMBO BADO MAGUMU

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

LONDON, England

KOCHA Antonio Conte amekiri akisema kwamba kwa sasa Chelsea wamekaliwa kooni wakati wanapoelekea mwishoni mwa msimu huu.

Kwa sasa Chelsea  wapo kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu England na wanaonekana  kuwa njiani kuwapokonya taji hilo Leicester City, kutokana na kuwa mbele kwa pointi saba dhidi ya timu inayoshika nafasi ya pili Tottenham.

Hata hivyo, baada ya mwishoni mwa  wiki kujikuta wakipata kichapo wasichokitarajia kutoka kwa Crystal Palace na kupunguza pengo la pointi kutoka 10, Conte anasema ligi bado ni mbichi.

“Kuna presha kubwa lakini jambo la kawaida unapokuwa ukiongoza klabu kubwa na huku ukiwa vizuri,” alisema Conte.

“Wakati unapokuwa na bahati ya kutosha kupigania ubingwa lazima kuwapo na presha, lakini jambo hilo si kwetu bali lipo kwa timu nyingi. Usisahau timu nyingine zinagombea ubingwa lakini cha msingi tupo kileleni mwa ligi tutaendelea kujaribu kutunza nafasi hii na kama tunaendelea kuitunza ina maana tunastahili,” aliongeza kocha huyo.

“Ligi hii haikumalizika kabla ya mechi ya Jumamosi na hadi sasa haijamalizika. Bado kuna mechi tisa za kucheza na mwisho kama tutafanikiwa nitafurahi na endapo mwingine atafanikiwa kufanya hivyo atakuwa ni bora kuliko sisi,” aliongeza tena Muitaliano huyo.

Kesho Chelsea itakuwa ikijaribu tena kurejea katika njia ya ushindi wakati itakapoivaa Manchester City, lakini hata hivyo Conte anatarajia kukutana na kigingi kingine.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -