Tuesday, November 24, 2020

CONTE AWAPIGIA DEBE TUZO WACHEZAJI CHELSEA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

LONDON, ENGLAND

KOCHA  Antonio Conte amewapigia debe wachezaji wake Chelsea ili waweze kupewa tuzo maalumu mwishoni mwa msimu huu pindi watakapofanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England.

Ngebe  za Chelsea kukaa kileleni kwa pointi nyingi zilipunguzwa juzi na kubaki la pointi saba, baada ya Tottenham kushinda, lakini  Conte bado anapewa  nafasi kubwa ya kunyakua taji hilo.

Hivi karibuni N’Golo Kante alitwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Ligi Kuu, lakini  Conte hataki kuwa ndiye mchezaji pekee kwenye kikosi chake kunyakua tuzo.

“Aina ya tuzo hii ni nzuri kupewa mwishoni mwa msimu nadhani mmoja wapo  ama wachezaji wangu wote wataipata,” alisema Muitaliano huyo.

“Msimu huu hadi sasa wachezaji wangu wanacheza vizuri na wanastahi kutuzwa. Lakini jambo la muhimu ni kumaliza katika njia iliyonyooka na kujaribu kushinda na kitu pekee unaposhinda watu huwa wanakukumbuka,”aliongeza Conte.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -