Tuesday, December 1, 2020

Conte, Moyes na Bilic kufungashiwa virago

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

LONDON, England

BAADA ya kutimuliwa vibaya kwa Francesco Guidolin kwenye klabu ya Swansea mwanzoni mwa wiki hii, kuna makocha wengine ambao wanatabiriwa kwamba huenda ikawa ni zamu yao na wao kufungashiwa virago.

Kocha huyo wa Italia, Guidolin aliyekuwa akitimiza umri wa miaka 61 wakati anatimuliwa, alikusanya pointi nne katika mechi saba za Ligi Kuu England.

Kikosi hicho cha Wales kimefanikiwa kushinda mechi moja pekee tangu msimu huu uanze ambapo waliifunga Burnley bao 1-0 na kupoteza mechi tano kati ya sita, ikiwemo kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Liverpool mwishoni mwa wiki iliyopita.

Naye kocha wa zamani wa Chelsea, Roberto Di Matteo, alitimuliwa kwenye kikosi cha Aston Villa ya Daraja la Kwanza.

Hivyo kutokana na jinsi msimu wa Ligi Kuu England unavyokwenda sasa hivi, kuna uwezekano mkubwa makocha wengine wakatimuliwa kazi.

Kwa mujibu wa mtandao wa michezo ya kubahatisha wa Ladbrokes, kocha wa West Ham, Slaven Bilic, ni mmoja wa makocha wanaoweza kufungashiwa virago.

Hammers wamekuwa kwenye hali mbaya msimu huu, wakishika nafasi ya 18 kwenye msimamo wa ligi hiyo wakikusanya pointi nne katika mechi saba walizocheza, wakishinda mechi moja na kufungwa tano.

Kocha mwingine anayetabiriwa kutimuliwa ni David Moyes wa Sunderland na Tony Pulis wa West Brom pamoja na kuiongoza klabu yake kushika nafasi ya tisa.

Kocha wa Stoke City, Mark Hughes ambaye alianza msimu huu vibaya, wakati Alan Pardew wa Crystal Palace na Antonio Conte wa Chelsea ni kati ya makocha ambao wanatabiriwa kutimuliwa.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -