Wednesday, November 25, 2020

COSAFA YAITIBUA CAF

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

CAIRO, Misri

SHIRIKISHO la Soka barani Afrika (CAF), limekerwa na kitendo cha Cosafa kupanga kukutana na nchi wanachama kwa kuwa kikao hicho kinalenga kulivuruga Shirikisho hilo.

Cosafa ambalo ni Shirikisho la Vyama vya Soka Kusini mwa Afrika, limeitisha kikao cha wenyeviti wa vyama vya wanachama kitakachofanyika Februari 24, nchini Zimbabwe.

Mwenyekiti wa Cosafa, Phillip Chiyangwa, ndiye aliyeitisha kikao hicho, lakini Caf wamedai kuwa kimelenga kuharibu utulivu uliopo katika Shirikisho hilo.

Sehemu ya barua iliyotumwa na Rais wa Caf, Issa Hayatou, ilisomeka hivi: “Kuitisha kikao chenye wawakilishi kutoka katika vyama vingi nje ya ukanda wa Cosafa ni jaribio la kuivuruga Caf.”

Jaribio hilo la Caf la kuzima kikao hicho limekuja ikiwa ni siku chache zimepita tangu Cosafa walipotangaza kuwa watamuunga mkono Ahmad Ahmad, katika kuwania kiti cha urais wa Caf.

Kwa sasa Ahmad ni mwenyekiti wa Chama cha Soka cha Madagascar na tayari ameweka wazi mpango wake wa kupambana na Hayatou ambaye pia anataka kurudi madarakani kwa awamu ya nane.

Uchaguzi Mkuu wa Caf utafanyika mwezi ujao nchini Ethiopia.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -