Wednesday, October 28, 2020

DAKTARI ATAJA KILICHOMSIBU BANDA

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA SAADA SALIM

DAKTARI wa tiba za wanamichezo, Gilbert Kigadye, amebainisha kile kilichosababisha beki wa Simba, Abdi Banda, kuumia huku akitakiwa kuwa nje ya dimba siku 10.

Banda kwa sasa yuko nje ya kikosi cha Simba akiuguza majeraha ya misuli.

Akizungumza na BINGWA, Kidagye alisema matatizo aliyoyapata Banda yamekuwa yakiwakuta wachezaji wengi, akisema hali hiyo inasababishwa na  kupoteza maji mengi mwilini.

Alisema mara kadhaa amekuwa akipokea wachezaji wenye matatizo hayo na kuwapa ushauri wa kunywa maji mengi ili kuupa mwili nafasi ya kufanya kazi.

“Kupoteza maji mengi mwilini pamoja na kufanya mazoezi ya kupitiliza; vyote hivyo kwa pamoja vinaweza kusababisha tatizo kama hilo alilolipata Banda, jambo la kuzingatia wanatakiwa kunywa maji mengi,” alisema.

Alisema kutokana na majeraha hayo, Banda atatakiwa kupata matibabu  kwa muda wa wiki moja kwa ajili ya kulainisha misuli na pia atakuwa na siku nne hadi tano kwa ajili ya mazoezi mepesi ili kuipa uzito misuli.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -