Friday, October 30, 2020

DAVIDO AMVAA MWANDISHI KISA BIBIYE CHIOMA

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

LAGOS, Nigeria

STAA Davido amemtaka mwandishi wa habari mwenye jina kubwa katika tasnia ya burudani, Kemi Olunloyo, kufunga domo lake na si kuzungumzia uhusiano wake wa kimapenzi na mrembo Chioma.

Awali, iliripotiwa kuwa Davido na Chioma wameachana na ndipo Olunloyo aliposema jamaa huyo amepagawa baada ya kuachwa.

Akitumia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, Olunloyo alindika hivi: “Watu wake wa karibu wameniambia kuwa Davido anajaribu kujisahaulisha maumivu ya kutemwa kwa kuogelea kwenye ‘jakuzi’, kupiga picha akiwa kwenye ndege na kufanya starehe.”

Alichokifanya Davido kujibu mapigo ya maneno hayo ni kucheka kwa dharau, kabla ya mashabiki wake kumshambulia kwa maneno Olunloyo, wakisema anatafuta ‘kiki’.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -