Saturday, October 31, 2020

DE LIMA AKIMBIZWA HOSPITALI

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

CATALUNYA, Hispania          |               


 

STRAIKA wa zamani wa Real Madrid na Barcelona, Ronaldo De Lima, jana alikimbizwa Hospitali ya Can Misses baada ya kuwa na hali mbaya huko kisiwani Ibiza.

De Lima anasumbuliwa na pneumonia ambao ni ugonjwa wa mapafu unaosababishwa na kushambuliwa na bakteria.

Lakini ilibainika kuwa staa huyo wa zamani wa Brazil, aliwasili visiwani humo kwa likizo ya muda ya mfupi ndani ya nyumba yake iliyopo karibu na eneo hilo.

Straika huyo mwenye miaka 41, alistaafu kucheza soka mwaka 2011 lakini mwaka 2012, aliugua homa ya dengue, ikiwa hivi karibuni alikuwa akipambana kupunguza uzito kwa mazoezi maalumu.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -