Monday, August 10, 2020

Denis God’s Gift atambulisha ‘The Best’

Must Read

Klabu zamiminika kuomba kutumia U/Nelson Mandela

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), umesema umeanza...

Kipa mpya Azam atamba kumsaulisha Abarola

NA ZAINAB IDDY KIPA mpya wa Azam, David Kissu, ameuahidi uongozi na mashabiki wa...

Yanga: Hatuna mpango na wasugua benchi Msimbazi

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga, umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji wanasugua benchi...

IOWA, MAREKANI

 MWIMBAJI wa Injili nchini Marekani, Denis God’s Gift, amewaomba wapenzi wa muziki huo kuupokea wimbo wake, The Best aliouachia hivi karibuni kwenye mtandao wa YouTube.

Akizungumza na Papaso la Burudani jana, Denis alisema wimbo huo una ujumbe  mzuri ambao unamgusa kila mtu hivyo mashabiki wanaweza kuutafuta na kuusikiliza.

“Nimeachia audio pekee ila video inakuja hivi karibuni kwahiyo mashabiki wakae tayari, ndani ya wimbo The Best nimejaribu kuonyesha jinsi ambavyo Mungu wetu ni bora,” alisema Denis aliyewahi kutamba na kava ya wimbo, My Beautifier wa Chris Shalom.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Klabu zamiminika kuomba kutumia U/Nelson Mandela

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), umesema umeanza...

Kipa mpya Azam atamba kumsaulisha Abarola

NA ZAINAB IDDY KIPA mpya wa Azam, David Kissu, ameuahidi uongozi na mashabiki wa timu hiyo kuwa atajituma na...

Yanga: Hatuna mpango na wasugua benchi Msimbazi

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga, umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji wanasugua benchi katika klabu ya Simba kwa...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -