Thursday, November 26, 2020

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimu
wa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Katika mkutano wake na waandishi wa habarijijiniDaresSalaamjana.Dewji alikata mzizi wa fitina, baada ya kutangaza kiungo huyo alisaini mkataba mpya wa miaka miwili muda mrefu.

Dewjialisemahawakutaka kuweka hadharani kuhusu mkataba mpya wa kiungohuyokwakuwamudawakufanya hivyo ulikuwa haujafika, kwa kuwa ule wa awali utamalizika Juni mwakani.

AlisemakuanziasasamjadalawaChama unapaswa kufungwa kwa sababu ni mali yao na ataitumia Simba kwa miaka miwili na nusu.

“Chama atabaki Simba hadi mwaka
2022, taarifa za kusema anakwenda Yanga zipuuzwe, tayarimimimwenyewenimeingia naye mkataba mpya wa miaka miwili na kuanzia Jumatano tutatangaza wachezaji tulioingianaomikatabakupitiamtandao wetuwaSimbakuanzia saa7mchana,” alisemaDewji.

KUTETEA UBINGWA LIGI KUU BARA

MwenyekitihuyowaBodiyaWakurugenzi Simba,alisemawamekuwahawalale kuhakikisha wanatetea ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mara ya nne mfululizo, licha ya kuwapo kwa dalili ya kuhujumiwa.

Dewji alisema malengo yao ni kufanya vizuri ligi ya ndani na michuano ya Ligi ya

Mabingwa Afrika, baada ya msimu uliopita kufanya vibaya kwa kutolewa hatua ya awali na UD Songo ya Msumbiji.

“Simba tunakumbukumbu mbaya ya kutolewa hatua ya awali na UD Songo msimuuliopitakitu ambachohatutaki kijirudienabahatinzurimsimuhuu, tuna mambo makuu matatu ambayo yanaweza kutupa ushindi katika mchezo wetu wa kwanza dhidi ya Plateau ya Nigeria.

“Mambo hayo ni suala la kwenda kuchezamechiyetuyakwanzaugenini kukiwa hakuna mashabiki kutokana na jangalavirusivyacorona hiinifaidakwetu, kwaniwachezaji watawezakwakujiamini na kuondokana na uoga ambao huenda wangekutana nao.

“Pili tutakaporejea nyumbani tutakuwa mbeleyamashabikiwetu50% nakwa mujibu wa taarifa tuliyopewa na CAF (ShirikisholaSokaAfrika),lakinikitendocha kuongezeka idadi ya wachezaji 10 wapya watakaosajiliwa baada ya kuwapo kwa corona,” alisema.

Alisemawanatarajiakuandikabaruakwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuomba katikaidadiyawachezaji10ambaoCAF imeruhusu waweze kusajili wanne au watano wa kigeni.

BosihuyowaSimbaalisema TFF wakikubali wataweza kuwa na wachezaji 15 au 14 wa kigeni badala ya 10 ambao wanaruhusiwakusajiliwa LigiKuuTanzania Bara.

BAJETI YA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Katikakuhakikishawanafanyavizuri
Ligi ya Mabingwa Afrika, Dewji alisema wametengabajetiyakutosha,ikiwana kuongezamotishakwawachezaji iliwaweze kupataushindiugenininanyumbani.

Dewjialisema wachezaji watimuhiyo watapata motisha nzuri wakiwa ugenini na nyumbani ili waweze kufanikisha malengo yao ya kufanya vizuri safari hii,

Alisema bajetiwaliyotengainajumuisha na gharamaya kutumia ndegebinafsi, wakati wa kwenda Nigeria wakijua usafiri nchini humo ni mgumu.

TETESIYAUSAJILIWA MUKOKO

Dewji alisema wamejipanga kusajili

MA ONESMO KAPINGA WENYEKITI wa Bodi ya

Wakurugenzi wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji, maarufu kwa jina la MO,

mchezaji mmojawakigeni kutokanana kiungo GersonFraga raia wa Brazil kupata jeraha lamudamrefu,lakini wanaweza kuongeza wachezaji wengine kulingana na mahitaji ya benchi la ufundi.

“Tutasajili kulingana na mapendekezo ya kocha, kwaniwapowatumaalumuwaliopo karibu na Sven Vandenbroeck na watatimiza kila litakaloonekana linafaa katika kipindi cha dirisha dogo.

“Suala la sisi kumsajili Tunombe Mukoko waKlabuyaYanga hizinipropaganda, hatujawahi kuzungumza katika kikao cha BodiyaWakurugenzi, walakochaSven hajalitajahilojina,” alisema

HANSPOPE, WENZAKE WAFUNGWA MDOMO

Ilikuondoapropagadanamalumbano ya wenyewe kwa wenyewe, Dewji alisema kikaochaBodiyaWakurugenzichajuzi, wamekubaliana hakuna mwanabodi ataruhusiwa kuongea na vyombo vya habari kuhusu mambo ya klabu hiyo.

Dewjialisema kuwaHansPopeambaye ni mjumbe kwenye bodi hiyo, hataonekana kuongeatenasualalaSimba bilaruhusaya mwenyekiti na akiruhusiwa nitakubaliana naye aongee nini, aliyoongea tuachane nayo.

MCHAKATOWAMABADILIKO

Akizungumzia suala hilo, Dewji mchakato wa mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji waklabuhiyowamekamilishataratibuzote na kuwasilisha nyaraka kwa Kamisheni inayosimamia ushindani wa kimasoko (FCC).

“Miakamitatusasaimepitatangu mchakato huu, uanze na tumeshakamilisha nyarakazotenakuziwasilishaFCC, tunasubirimuongozowaoilikuingiarasmi katikamfumowahisa,binafsinimechoka nahukukusubirinaombawanahabari mtusaidie kuliulizia hili linakwama wapi?

“Kutokana na FCC kuchelewesha mchakato, Simba kila mwaka inajiendesha kwahasarayaSh.bilionitatukwenye gharamazauendeshaji,lakinimimikama mwenyekiti nimekuwa nikitoa ruzuku kwa ajili ya kuziba pengo hilo ili mradi klabu isikwame, lakini kama ungekamilisha klabu ingekuwa inajiendesha yenyewe,”alisema Dewji.

Previous articleSven aruka kihunzi
Next articleZILE NI SALAM TU
- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -