Wednesday, October 28, 2020

Diamond ampa mil 2/- aliyetobolewa macho

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA MWANDISHI WETU,

NYOTA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, jana amemkabidhi shilingi milioni 2 kijana Said Ally aliyeshambuliwa kisha kutobolewa macho yote mawili na mtu anayefahamika kwa jina la Scorpion, hali iliyopelekea kutoona tena.

Akizungumza kwenye kipindi cha Leo Tena kinachoruka kupitia Clouds Fm wakati akimkabidhi fedha hizo, Diamond Platnumz  alimsihi Said kutojiona mpweke na akampa ahadi kuwa bega kwa bega mpaka pale Mungu atakapompa wepesi zaidi.

“Kila jambo linapangwa na Mungu, imani yangu inaniambia Mwenyezi Mungu anavyopanga kitu basi kuna baya zaidi amekuepushia. Siwezi kujua kwanini ameamua uwe hivyo ila endelea kumwomba Mungu naye ataona kumbe mja wangu ana fadhila, ataendelea kukujalia mengine mema zaidi,” alisema Diamond.

Wakati huo huo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, alimkabidhi Said shilingi milioni 10 huku akitoa salamu kutoka kwa Kampuni ya GSM iliyomwahidi kumnunulia nyumba eneo lolote atakalolitaka pamoja na Kampuni ya TSN ikimpa pikipiki 2 na wadau wengine kumpa pikipiki 3 na bajaji mbili zitakazomsaidia kwenye maisha yake hayo mapya ya upofu.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -