Thursday, December 3, 2020

DIDA AFUNGWA YANGA

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA ZAINAB IDDY,

KIPA wa Yanga, Deogratius Munishi ‘Dida’, amesema anashindwa kwenda kucheza soka ya kulipwa katika klabu nyingine za Afrika na Ulaya kutokana na mkataba wake unambana kuondoka Jangwani.

Akizungumza na BINGWA juzi, Dida alisema amekuwa akipata ofa nyingi, lakini anashindwa kuondoka kutokana na kufungwa na mkataba aliosaini katika klabu hiyo.

Dida alisema si kwamba hana mipango ya kwenda kujaribu maisha katika klabu nyingine nje ya Tanzania, lakini mkataba unambana kuondoka.

Alisema kulingana na utaratibu uliopo kwenye timu yake, ni ngumu mchezaji mwenye mkataba mrefu kupata nafasi ya kwenda sehemu nyingine hata kama atakuwa amepata ofa nono.

“Nimepata ofa nyingi kwenda kucheza nje, lakini kikwazo ni mkataba nilionao Yanga, hivyo nasubiri umalizike,” alisema Dida.

Dida alisema mkataba wake unafikia ukingoni, lakini hawezi kusema kama ataongeza mwingine au la.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -