Tuesday, November 24, 2020

DJOKOVIC, NADAL WANG’ARA AUSTRALIAN OPEN

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

MELBOURNE, Australia

MASTAA wa mchezo wa tenisi duniani, Novak Djokovic na Rafael Nadal, wameendeleza ubabe wao katika michuano ya Australian Open baada ya wote kufanikiwa kutinga raundi ya pili.

Katika mchezo wake wa juzi uliochezwa kwa saa tatu na nusu kwenye Uwanja wa Rod Laver Arena, Djokovic ambaye ndiye bingwa mtetezi wa mashindano hayo, alimchakaza Fernando Verdasco kwa seti 6-1 7-6 (4) 6-2.

Kwa upande wake, Rafael Nadal, aliingia raundi ya pili baada ya kumshinda

Florian Mayer kwa seti 6-3 6-4 6-4.

Haya ni mashindano ya kwanza kwa Mhispania Nadal tangu aliporejea uwanjani akitoka kuuguza majeraha.

Katika hatua inayofuata, staa huyo mwenye umri wa miaka 30, atakuwa na kibarua cha kukabiliana na Marcos Baghdatis raia wa Cyprus na Djokovic atavaana na Denis Istomin au Ivan Dodig.

Nadal anafukuzia taji lake la 15 la michuano mikubwa ‘Grand Slam’ na Djokovic anasaka la 13 katika historia ya maisha yake ya mchezo wa tenisi.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -